Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Waisilamu bwana huko pwani wanavyojiona ni wengi wanadhani hali ni hivyo hivyo na bara, kumbe hawafiki hata roboWanaogopa kusema Islam ni wa pili kwa wingi
Sasa kama hujui Waislamu ndio tulikuwa tunataka hiyo idadi, serikali ndio ikagomaWanaogopa kusema Islam ni wa pili kwa wingi
haaaaa? Basi ongezea na hiziKhaaaaa? Basi ongezea na hizi
Walioolewa...
Yani jamii ya Kiislamu mwaka 2012 iligoma kuhesabiwa kwakuwa hakukuwa na kipengele cha dini, serikali ikatunia nguvu kubwa kunyamazishaWanaogopa kusema Islam ni wa pili kwa wingi
Pwani si ndo Dar es salaam kaka auWaisilamu bwana huko pwani wanavyojiona ni wengi wanadhani hali ni hivyo hivyo na bara, kumbe hawafiki hata robo
Serikali iliogopa kitu gani? Kwamba mtakuja na unreasonable demands mkijua nyie ni wengi kuliko Wapagani au Wakristo?Sasa kama hujui Waislamu ndio tulikuwa tunataka hiyo idadi, serikali ndio ikagoma
Hata wanawake na wanaume wangeainisha na umri. Maana ninaamini wanawake wanaosemwa wengi ni wale ambao siyo umri wa kuolewa au kuzaa(vizaa vya over 45yrs) na visichana under 18.Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi...
Ila nahisi Waislamu wakiambiwa ni wachache kuliko Wakristo hawatakubali hizo takwimu, wanaamini mno kwamba wao ni wengi, kwa kuwa wao ni wengi Dar.Wanaogopa kusema Islam ni wa pili kwa wingi
hata dar si wengi kihivyo, ni makelel tuIla nahisi Waislamu wakiambiwa ni wachache kuliko Wakristo hawatakubali hizo takwimu, wanaamini mno kwamba wao ni wengi, kwa kuwa wao ni wengi Dar.
Ila nahisi Waislamu wakiambiwa ni wachache kuliko Wakristo hawatakubali hizo takwimu, wanaamini mno kwamba wao ni wengi, kwa kuwa wao ni wengi Dar.
Point nzuri sana. Kutoa matokeo ya sensa na kusema tuko milioni 61, wanaume milioni 30, wanawake milioni 31, mie nimeona ni ujinga na kukosa busara.hata wanawake na wanaume wangeainisha na umri. Maana ninaamini wanawake wanaosemwa wengi ni wale ambao siyo umri wa kuolewa au kuzaa(vizaa vya over 45yrs) na visichana under 18.
Hata wanaume pia wangeainisha umri in groups
Dar Haina waislamu wengi umedanganywa ,Dar kwa vile Haina wenyeji wengi wa Pwani labda baadhi ya maeneo ...Dini iliyodominate kanda ya ziwa ndo yenye watu wengi sawa na makabila..Ila nahisi Waislamu wakiambiwa ni wachache kuliko Wakristo hawatakubali hizo takwimu, wanaamini mno kwamba wao ni wengi, kwa kuwa wao ni wengi Dar.
Kuna dini zinazaa kama free fall Mkuu. Kwa hiyo hizo projections zinaweza kutokuwa sahihi ukizingatia mambo kadhaa kama birth rates katika dini tofauti ambazo zimebadilika toka enzi za mkoloni kutokana na shule nk.Neno kubwa hapa ni "unahisi"..
Tafuta takwimu za wakoloni zina kipengele cha idadi ya watu Kwa dini..
Unaweza tumia Kama base ya estimates za sasa
Serikali iligoma kwasababu tangu nchi ipate uhuru haikuwahi kuhesabu makabila wala dini waliona ingekuwa jambo jipya, mara ya mwisho watu walihesabiwa dini na makabila ilikuwa kipindi cha ukoloni kabla ya uhuruSerikali iliogopa kitu gani? Kwamba mtakuja na unreasonable demands mkijua nyie ni wengi kuliko Wapagani au Wakristo?