herio
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,245
- 4,320
Shida yako ni kujua tu dini ipi ina wafuasi wengi?haaaaa? Basi ongezea na hizi
Walioolewa - idadi ipo...
Eleza faida za kufanya hivyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yako ni kujua tu dini ipi ina wafuasi wengi?haaaaa? Basi ongezea na hizi
Walioolewa - idadi ipo...
Kuna dini zinazaa kama free fall Kuu. Kwa hiyo hizo projections zinaweza kutokuwa sahihi ukizingatia mambo kadhaa kama birth rates katika dini tofauti ambazo zimebadilika toka enzi za mkoloni kutokana na shule nk.
Kiongozi mjinga tu ndio atatumia hicho kama kisingizio. Hatuendeshwi na mambo yaliyofanywa au kutofanywa na wakoloniSerikali iligoma kwasababu tangu nchi ipate uhuru haikuwahi kuhesabu makabila wala dini waliona ingekuwa jambo jipya, mara ya mwisho watu walihesabiwa dini na makabila ilikuwa kipindi cha ukoloni kabla ya uhuru
Kwa wingi wasukuma tu wanawazidi.Sasa kama hujui Waislamu ndio tulikuwa tunataka hiyo idadi, serikali ndio ikagoma
Shida yako ni kujua tu dini ipi ina wafuasi wengi????haaaaa? Basi ongezea na hizi
Walioolewa - idadi ipo
Walioachika - ipo kaa wana file divorce
Mabikra - mjinga tu ndio atapendekeza hili
Mafisadi - idadi ipo kwa waliohukumiwa
Marehemu - idadi ipo mjajiri wa vifo
Wanaojiuza - mjinga tu ndio atapendekeza hili
Kwa ujumla, nimeona post yako ina ujinga wa kiwango cha juu. Na hasa ukizingatia kuna nchi nyingi tu, kama sio zote isipokuwa Tanzania, zinatoa takwimu za mambo niliyotaja
exactly ingesaidia mambo mengi si ajira tu...hata projection za masomo na kibajeti kwa shule za msingi, secondary, vyuo na mikopo kama ya HESLB, huduma kama za bima. Kuishia kusema tu idadi ya watu kwa ujumla wake haileti maana kabisa maana hata NBS walisha kadiria kuwa tuko 61.3. Sense inapaswa iainisha umri wa watu kimakundiPoint nzuri sana. Kutoa matokeo ya sensa na kusema tuko milioni 61, wanaume milioni 30, wanawake milioni 31, mie nimeona ni ujinga na kukosa busara...
Kwani ukiambiwa Tanzania kuwa wanawake milioni 31 wanaume milioni 30 inakufaidishaje?Shida yako ni kujua tu dini ipi ina wafuasi wengi????
Eleza faida za kufanya hivyo..
Basi kujua idadi ya Wakrsto n Waislamu watajua ni maeneo gani yatengewe maeneo mengi kwa ajili ya msikiti na makanisa nk, wapi kuna wapagani wengi hawahitaji land planning kwa ajili ya makanisa na misikiti nkNimekuuliza ulitakiwa unijibu..
Serikali inahesabu watu kwa ujumla kwa maendeleo ya taifa bila kutumia vipengele ulivyotaja wewe.
Point nzuri sana. Kutoa matokeo ya sensa na kusema tuko milioni 61, wanaume milioni 30, wanawake milioni 31, mie nimeona ni ujinga na kukosa busara.
Nilitegemea Samia angeenda mbali na kusema, katika milioni 61, idadi ya vijana kati ya miaka 20-30 ni hii. Na hivyo serikali itajipanga kuweka mikakati ya ajira kwa sababu hapa ndipo watu wasio na ajira wamejaa.
Na angesema wazee kuanzia miaka 60 hadi 80 ni hii. Kwa hiyo bima ya taifa ya afya itakuwa hvi na vile na hivi. Yaani anakuja kusema tuko milioni 61, wanaume 30 wanawake 31 halafu anaondoka? Angemtuma hata housegirl wangu angefanya hiyo kazi vizuri ti
Kasome ripoti ya sensa sio kuongea tu, ulitaka asome ripoti nzima. Lazima sensa ioneshe hayo unayosema. Soma ripoti nzima halafu ulete hoja zako najua hujaisoma. Watanzania ndo tulivyo hata huna uhakika unapiga. Lazima utofauti wa umri unaleta majibu ya watoto, vijana, watu wazima, nguvu kazi, utengemezi na uzalianaji na mengine.Kwani ukiambiwa Tanzania kuwa wanawake milioni 31 wanaume milioni 30 inakufaidishaje?
unataka kutambika?Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi, kuna wapagani wangapi. Na katika Waislamu kuna Suni wangapi, Shia wangapi. Na katika Wakristo, kuna Wakatoliki wangapi, Walutheri nk.
Na pia ningependa kujua kuna Wasukuma wangapi, Waha wangapi nk. Ubaya wake nini kujua hii idadi? Kusema itaeta udini au ukabila ni sababu yebo yebo.
Wanawake wanajua wako wengi kuliko wanaume, mbona hatuoni wakidai mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya wengi wawe wanawake kuliko wanaume?
Hoja huenda ni nzuri, but ungetueleza mazuri yake piaHadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali,
unaonaje kama hii observation ungeiweka kwenye main post?Ila nahisi Waislamu wakiambiwa ni wachache kuliko Wakristo hawatakubali hizo takwimu, wanaamini mno kwamba wao ni wengi, kwa kuwa wao ni wengi Dar.
MashogaKhaaaaa? Basi ongezea na hizi
Walioolewa
Walioachika
Mabikra
Mafisadi
Marehemu
Wanaojiuza
Nk nk
Wakatoliki tulifanya sensa yetu kwa Jimbo nilipo mimi mwaka huu mwezi wa sita.Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi, kuna wapagani wangapi. Na katika Waislamu kuna Suni wangapi, Shia wangapi. Na katika Wakristo, kuna Wakatoliki wangapi, Walutheri nk.
Hawakuuliza maswali hayo MkuuWakatoliki tulifanya sensa yetu kwa Jimbo nilipo mimi mwaka huu mwezi wa sita.
Na hili nadhani ni jambo la kundi husika,by the way hilo swali wewe uliulizwa kwenye maswali ya sensa?
Watasema niko biased Mkuuunaonaje kama hii observation ungeiweka kwenye main post?