Mir nawapongeza sana BASATA kwa walichofanya. Ni bora kusiwe na mziki bongo kuliko huo upuuzi eanaofanya hawa wanamziki.Basata wanatakiwa watoe muziki mmoja pamoja na video, uwe mfano katika mashairi na mavazi.. Ili iwe mwongozo vinginevyo watauwa sanaa ya Muziki nchini
Mkuu unaelewa maneno ya kingereza yaliyoimbwa mle?Ndugu wanaJF, nimejaribu kuutazama kwa umakini sana wimbo wa Diamond Uitwao Hallelujah, kimsingi sijaona tatizo lililofanya wimbo huo kufungiwa.
Huku ni kutaka kuuwa vipaji vya wanamuziki wetu ambao wanajaribu kufikia level za kimataifa.
Nahisi itawapendeza sana Sizonje na Team yake wanamuziki wote mkianza kuimba CCM ni nambari one na mingineyo ya kumsifia Sizonje.
Huko ndiko tuendapo.
Unaonekana una hoja ila kwanini uka site NW ?kwanini hata isingekuwa wazir mhusika kama ni issue ya ukristo na matumizi ya hilo neno Halleluyah!Pengine ni hilo neno 'alelluya'.Lina matumizi yake maalum kwa watu maalum.Pengine BASATA, ikiwakilishwa na naibu waziri iliona kama Diamond anawadhihaki watumiaji halali wa neno 'alelluya'
Mkuu, kwa mawazo yako upo sawa kabisa.. Ila muziki ni zaidi ya hiari kuusikiliza ama kuangalia mtu halazimishwi, ndo maana kuna channels za vitu tofauti tofauti mfano:- movies, makala, Dini pamoja na burudani (muziki) na vingine vingi.. Ukiuangalia muziki, kwa upeo finyu kabisa unaweza mfungia yoyote unayetaka kwa sababu zako ila ukiangalia muziki kwa jicho pevu utaona ni jinsi gani hii ni Idara nyeti sawa na viwanda, dhamira kubwa ya viwanda mbali ya uzalishaji ni upatikanaji wa ajira za kutosha.. Muziki umeajili vijana wengi sana katika nyanja tofauti tofauti, kama waimbaji, watengenezaji wa huo muziki, wasambazaji, wachezaji, makampuni ya entertainment kwa uchache wao. Ivo badala ya kumuua msanii basi serikali inatakiwa kutengeneza mazingira mazuri inufaike nao, kwenye kodi na kusaidia kutoa ajira. Kumfungia msanii haisaidii kabisa, kuwa na mpango mzuri, sawa wimbo hauna maadili kwenye video yake, ruhusu ipigwe kwenye radio lakin si kwenye TV, weka kwenye internet sababu tunaamini wanapofika YouTube na kwingineko ni watu wazima.. Tuwe na mipango ya kujenga na si kubomoa.Mir nawapongeza sana BASATA kwa walichofanya. Ni bora kusiwe na mziki bongo kuliko huo upuuzi eanaofanya hawa wanamziki.
Sina tatizo na mziki hata kama sio muumini na ninaamini serekal haina mpango wa ku burn mziki ila iwe miziki yenye maadili na isiyoleta namna fulani inayweza kuleta sintofahamu kwa wananchi. Kweli kila mtu ana hiari ila wapo ambao haujui kipi kizuri na kipi cha kuchagua hawa ndo wa kulinda zaidi. Pia kam wakristo wasingekuw wanahubiriw amani na utulivu huo wimbo ungeshaleta shida kubwa mpaka sasaMkuu, kwa mawazo yako upo sawa kabisa.. Ila muziki ni zaidi ya hiari kuusikiliza ama kuangalia mtu halazimishwi, ndo maana kuna channels za vitu tofauti tofauti mfano:- movies, makala, Dini pamoja na burudani (muziki) na vingine vingi.. Ukiuangalia muziki, kwa upeo finyu kabisa unaweza mfungia yoyote unayetaka kwa sababu zako ila ukiangalia muziki kwa jicho pevu utaona ni jinsi gani hii ni Idara nyeti sawa na viwanda, dhamira kubwa ya viwanda mbali ya uzalishaji ni upatikanaji wa ajira za kutosha.. Muziki umeajili vijana wengi sana katika nyanja tofauti tofauti, kama waimbaji, watengenezaji wa huo muziki, wasambazaji, wachezaji, makampuni ya entertainment kwa uchache wao. Ivo badala ya kumuua msanii basi serikali inatakiwa kutengeneza mazingira mazuri inufaike nao, kwenye kodi na kusaidia kutoa ajira. Kumfungia msanii haisaidii kabisa, kuwa na mpango mzuri, sawa wimbo hauna maadili kwenye video yake, ruhusu ipigwe kwenye radio lakin si kwenye TV, weka kwenye internet sababu tunaamini wanapofika YouTube na kwingineko ni watu wazima.. Tuwe na mipango ya kujenga na si kubomoa.