Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Nimecheka sana mkuu...!Kwenu wapi kaka?! Matumizi ya "R" & "L" yanakuhangaisha kuwa makini, humu wanasoma wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana mkuu...!Kwenu wapi kaka?! Matumizi ya "R" & "L" yanakuhangaisha kuwa makini, humu wanasoma wengi.
Sijui kama amemaanisha hivyo mkuu.Sawa. Nikuache na everything is politics
Nimecheka sana mkuuBasata wanatakiwa watoe muziki mmoja pamoja na video, uwe mfano katika mashairi na mavazi.. Ili iwe mwongozo vinginevyo watauwa sanaa ya Muziki nchini
Yule anatakiwa afungwe yeye kabsa na sio nyimbo tuVp Mrisho Mpoto kaponaa!!?
Hataki sisi Z tunaitmka S [emoji13] [emoji12] go ahead sir [emoji120]Kwetu Mke tunaita Nke, Mtoto tunaita Ntoto so usishangae kwa matumizi ya R na L kwetu ni mtihani. Sorry kama kwa usumbufu.
Kwa sababu maamuzi ni ya kisiasa zaidi.Mkuu, Serikali imeshaamua. Kama unampenda Domondi, mtafute mkanywe chai. Halafu, hili jambo linakuwaje la kisiasa hadi liwe hapa?
JUKWAA LA SIASA
Tanzania's Political Forum. Tafadhali hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na atakuwapo huyo seduce me akikata mauno kuicheza vilivyo Hallelujah!Alafu wameshapatikana, then kinachofiatia kwa Hallelujah ni nini????
Katika Abam anayokwenda kuizindua na huu wimbo upo, itakuaje sasa????
Nyimbo zote za Diamond shida ni kwenye video sema tuu Basata hawakuwa clearNdugu wanaJF, nimejaribu kuutazama kwa umakini sana wimbo wa Diamond Uitwao Hallelujah, kimsingi sijaona tatizo lililofanya wimbo huo kufungiwa.
Huku ni kutaka kuuwa vipaji vya wanamuziki wetu ambao wanajaribu kufikia level za kimataifa.
Nahisi itawapendeza sana Sizonje na Team yake wanamuziki wote mkianza kuimba CCM ni nambari one na mingineyo ya kumsifia Sizonje.
Huko ndiko tuendapo.
Ungeweka sababu za kufunguwa hapa ili tujue kama unazifahamu then uje na critics zako genuine and logical ili yupime sasa kama una hoja au ni mkurupukaji tu.Ndugu wanaJF, nimejaribu kuutazama kwa umakini sana wimbo wa Diamond Uitwao Hallelujah, kimsingi sijaona tatizo lililofanya wimbo huo kufungiwa.
Huku ni kutaka kuuwa vipaji vya wanamuziki wetu ambao wanajaribu kufikia level za kimataifa.
Nahisi itawapendeza sana Sizonje na Team yake wanamuziki wote mkianza kuimba CCM ni nambari one na mingineyo ya kumsifia Sizonje.
Huko ndiko tuendapo.