Sijaona watu wakilaani na kumkejeli Lionel Mess

nonsense, Ibra naye ni mchezaji!!? Nesi wenu na ushindi wa kufail mpaka amekuwa desparate na nyie shabiki zake. Kutwa kucha mnajaza server kwa thread za majisifu wakati kijana wa Madeira anaweka Muzic haleti maneno.
 
Unasahau kuwa CR7 n mzee kulko Mess....ibra kadabra amesema CR7 sio kipaji bal anaforce kuwa bora....achen kipaji messi aringe bana.
 
Wachawi wa soka duniani ni wawili tu wengine wababaishaji tu na mbwembwe nyiingi ziczokua na maana! LEONEL ANDRES MESSI na DIEGO ARMANDO MARADONA hawa ndiyo wachawi original haswaa, mpira wao iz natural..

All in All' MESSI namkubali zaidi ya wote.....
 
Tuzo ya World Cup Kule Brazil alistahili Roben Dunia ilishtushwa alipopewa Messi! hata yeye aliona aibu kubwa baada ya watu kumzomea dah Pole zake Messi
 
Utasemaje mtu KA FAIL wakati alifunga magoli 51 kwa mwaka mmoja wa 2016 kuliko mchezaji mwingine yeyote anayecheza Ulaya?!
 
Unasahau kuwa CR7 n mzee kulko Mess....ibra kadabra amesema CR7 sio kipaji bal anaforce kuwa bora....achen kipaji messi aringe bana.
Zika ishakuharibu wewe mpaka hauoni uwezo wa Ronaldo bali unaona wa Nesi.
 
Messi mkimuona kimba linawabana poleni sana he is still young nabmtashuhudia mengi yake sana utamsifia vipi player ambae hata fainali hakucheza?
 
Nyie mess kile kipaja natural acheni nyimbo zenu izo muulizen boateng


Hahahaaa,fernandinho na yeye usimsahau alivyodhalilishwa, na wengine wengi tu tukiamua kuwataja hatuwamalizi..mechi iliyopita kati yetu na espanyol kapiga chenga wachezaji wa4 goli,hakukaa vizuri kapiga wengine wa4 goli....ndani ya magoli mawili kishawachapa mabeki 8...chezea mtoto wa kiaArgentain utaishia njia panda..😀

Maestro Anakipaji asilia,
 
aaah asee vyote hivyo ni Messi, asante kama ni sifa tu unaweza!!
 
Cr7 ana majivuno sana kiasi kwamba akiharibu lazima apewe za USO tena kavukavu. Lakini Messi anakawaida ya kutokua mgomvi na asie na makuu hats akiwa juu. so inakua sio rahisi kumchukia na kumponda waziwazi.

Kuchukiwa haimaanishi wewe ni tishio. Ila watu wanakawaida ya kumkubali Yule asie na dharau.
 

Umeongea ukweli Mkuu..Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…