VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
- Thread starter
- #81
CR 7 ni mnyamaaaaa huwa hajui kukata tamaa aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CR 7 ni mnyamaaaaa huwa hajui kukata tamaa aiseee
Yes yes CR7 ni jeshi la mtu mmoja nina imani hata akikosa kombe la EURO hawezi kustaafu!!!
CR 7 ni mnyamaaaaa huwa hajui kukata tamaa aiseee
Akichukua kombe na timu yake ya taifa ndo mrudi tubishane hapaMchezaji bora all time ni yule asiyependa kujisifu kabla hajasifiwa nadhani mnamjua.
kaipeleka ureno fainali ya euro na ndo mabingwa wapya ulayamessi kaipeleka Argentina fainali ya world cup, copa Mara mbili 2,...mwenye rekodi ya Christian Ronaldo kwa timu yake ya taifa,atupie.kama kuna anayejua rekodi za messi kwa timu yake ya taifa,aongezee.
halafu akafunga goli la ushindi,Ronaldo oyeeeeeeeeeekaipeleka ureno fainali ya euro na ndo mabingwa wapya ulaya
hollllllllaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Akichukua kombe na timu yake ya taifa ndo mrudi tubishane hapa
Unapoteza sight mkuu, nyie si mnasema huyo ndo king! King gani kashndwa kuchukua hata kombe la maigizo la kopa Amerika!!? Asipo cheza na kina iniesta haez beba kitu huyo.Wangapi wana makombe lkn hawana good reputation kama huyu kiumbe, je akipata hayo makombe itakuwaje ni zaidi ya sifa sindio?
Hakika mkuuKumchukia Messi ni sawa na kujiandalia kaburi lako mapema.
Ibrahimovic: Cristiano Ronaldo isCr7 ni moto wa gesi huyu. Na sasa anaelekea kubeba World Cup akalipachike pale makumbusho.
Ibrahimovic: Cristiano Ronaldo is
not a natural talent
Dec 29, 2016[/QUOT
ndio nini hicho
Na wewe unaona umeandika sababu ya msingi?? Mtu unastaafu kwa kukosa kombe??? Alafu anajiita mchezaji bora??Acha upumbavu messi hakustaafu kwasababu alikosa penalti yeye alistaafu kwa sababu ya kukosa kombe in three consecutive years.