GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kichwa Cha Habari KIMESHAJITOSHELEZA. Tokea Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Huu Zianze Sijapata Choo au Haja Kubwa Na Muda Mwingi Sana Tumbo Langu Limekuwa Linaunguruma Tu Huku Nikibadili Hali Ya Hewa Ya Mahala Husika Kila Baada Ya Robo Saa Na Hata Hiyo Hewa Yenyewe Nayo Nikiitoa Huwa Inachelewa Kupotea Mapuani Mwa Watu. Kitaalamu Nina Tatizo Gani? Nifanyeje? Naombeni Mnisaidie Jamani Mwenzenu Kwani Hata Mimi Natamani Mno Kwenda Kushusha MAGOGO au Kukata BOGI Lakini Tatizo Hayatoki.
Nitawashukuruni Nyote Kama Mtanisaidia. Kila La Kheri!
Nitawashukuruni Nyote Kama Mtanisaidia. Kila La Kheri!