Sijapata haja kubwa tokea Kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Je, nina tatizo gani?

Sijapata haja kubwa tokea Kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Je, nina tatizo gani?

Mzembe wa kunywa maji kwawingi,kafanyiwe cheki apu hosptali halaka!unaweza kupishana na maisha hvhv!!!!!
 
Kijana upo??

Nipo Kijana Na Nasikitika Wana CCM Wenzangu Humu JF Mnaniacha Peke Yangu Nipambane Kama Vile Wana CCM Mnavyomuacha Dr. Magufuli Apambane Mwenyewe Majukwaani. Pole Na Majukumu Na Watanzania Tunawategemeeni Mno Ktk Kutuhakikishia Amani Hasa Kipindi Hiki. Nifikishie Ujumbe Wangu Huu Kwa DG Wako Hapo Obey Makao Makuu.
 
Back
Top Bottom