Sijapata haja kubwa tokea Kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Je, nina tatizo gani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kichwa Cha Habari KIMESHAJITOSHELEZA. Tokea Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Huu Zianze Sijapata Choo au Haja Kubwa Na Muda Mwingi Sana Tumbo Langu Limekuwa Linaunguruma Tu Huku Nikibadili Hali Ya Hewa Ya Mahala Husika Kila Baada Ya Robo Saa Na Hata Hiyo Hewa Yenyewe Nayo Nikiitoa Huwa Inachelewa Kupotea Mapuani Mwa Watu. Kitaalamu Nina Tatizo Gani? Nifanyeje? Naombeni Mnisaidie Jamani Mwenzenu Kwani Hata Mimi Natamani Mno Kwenda Kushusha MAGOGO au Kukata BOGI Lakini Tatizo Hayatoki.

Nitawashukuruni Nyote Kama Mtanisaidia. Kila La Kheri!
 
Uko siriazi kweli kutaka ushauri?
 
wewe una vidonda vya tumbo/ulcers ktk utumbo mpana, meza omeprazole lokit au heligo kit pamoja na dawa ya maji ya gestro ulcers
 
Mwambie DJ mpumzike kampeni. Wenzio wazima wako fiti wewe unakubali wakupelekeshe kiasi hicho. Kama Urahisi kubali yaishe na wala usihofu tingatinga halina visasi litakulinda. DJ hafai kabisa atakuua.
 
Nadhani utaipata baada ya tarehe 25 octoba matokeo kutangazwa na utakunya chumba kizima kwa jinsi matokeo yatakavyokuwa
 
Pole sana mkuu. Nasikitika kukwambia utakuwa umelogwa kutokana na tabia yako ya ubishi ya kupenda kushabikia mafisiem. Mbaya zaidi hakuna dawa yake. Usijisumbue kuhangaika kutafuta dawa mahospitalini, kwani ili uweze kupona chagua kati ya haya mawili .
Moja: kura yako kuwapa upinzani ifikapo Oktoba 25.
Mbili: subiria uchaguzi uishe kama daktari alivyokushauri, tena ombea EL atangazwe raisi wa JMT, la sivyo hautakunya tena mkuu.
Uamuzi ni wako mkuu GENTAMYCINE.
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu. kuna popoma mmoja huku home alikua kama wewe ila alikunywa juisi ya kukwaju kama litre nne kwa siku moja aisee... nusu anye utumbo.mavi meeengi sana yalimtoka.
 
Kunywa juisi ya ukwaju utashusha Magogo sio Gogo moja.


 
Kuna Daktari Mmoja Kaniambia Nisubiri Hadi Uchaguzi Mkuu Upite Kisha Ndipo Yatanitoka Mengi Tu. Bado Natafakari Maneno Haya Ya Huyu Dokta Na Kama Tanzania Kwa Sasa Ndiyo Tuna Madaktari Wa Aina Hii Napata Na Mashaka Na Uhai Wetu.

😂😂😂😂😂😂
 
Nina wasiwasi utakuwa ni muumini wa chama tawala na kinachokusababishia kufunga choo ni msongo wa mawazo ulioletwa na wimbi la vuguvugu la mabadiliko.
 
bado ujaenda chooni tu daa siku ukienda harufu itayotoka hadi uku itafika madhara ya kuchukua wake za watu ndo ukome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…