Nipo Kijana Na Nasikitika Wana CCM Wenzangu Humu JF Mnaniacha Peke Yangu Nipambane Kama Vile Wana CCM Mnavyomuacha Dr. Magufuli Apambane Mwenyewe Majukwaani. Pole Na Majukumu Na Watanzania Tunawategemeeni Mno Ktk Kutuhakikishia Amani Hasa Kipindi Hiki. Nifikishie Ujumbe Wangu Huu Kwa DG Wako Hapo Obey Makao Makuu.