Tareqmachoo
New Member
- Dec 31, 2024
- 3
- 6
Andika malalamiko yako na uyawasilishe tigo na pia nakala iende benki kuu ya Tanzania (BoT) - hata kwa barua pepe.Habari Ndugu!
Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.
Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu. Kila siku naenda tigo shop wananizungusha.
Hiyo pesa ni nyingi sijui nafanyaje. Sitaki kuamini kama hiyo pesa imepotea. Wadau wa Jamii forums nifanyaje nisaidieni ?
.
Namba zangu ni : +255 659 172 401
.
#tigopesa #mastercad #tcra #bot #kero #tigopesamastercard
Hii inaweza kua msaada??Andika malalamiko yako na uyawasilishe tigo na pia nakala iende benki kuu ya Tanzania (BoT) - hata kwa barua pepe.
Usipojibiwa na tigo (Yass) ndani ya siku 14 toka ulipowasilisha malalamiko yako kwao basi utawasilisha malalamiko hayo benki kuu na wao ndani ya siku 14 watawaita Yass na wewe na kufanya kikao cha usuluhishi na kisipozaa matunda basi mtaitwa kwenye kamati ya uamuzi na suala lako kuamriwa kisheria.
Anuani ya benki kuu ni hii:
Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Huduma za Kifedha,
Benki Kuu ya
Tanzania,
Mtaa wa Mirambo 2,
sanduku la posta 2939,
11884 Dar es Salaam
AU tuma kwa
barua pepe: complaints-desk@bot.go.tz;
Ukitaka ufafanuzi zaidi niPM au nicheki kwa 0713368153
Ndio njia sahihi, ikiwa madai ya mtoa mada yapo sawa na ana vielelezo vyote kuthibitisha madai hayo, Yass watawajibishwa na mtoa leseni, ambae ni benki kuu (BoT). Jukumu la BoT ni pamoja na kuwalinda watumiaji wa huduma zilizopata leseni kutoka BoTHii inaweza kua msaada??
Mkuu pambana kilakitu kinawezekana, usikate tamaa AliExpress walini refund tarehe 20 December 2024. Tigo wakaanza kunizingua nikaamua kushirikisha mamlaka husika, ingawa pesa iliorudi ni pungufu hata hivyo nashkuru, madai yangu yalikia ni tsh 626,000 pesa iliorudi ni 536,000. Nawashkuru dana Bot tumia anuani hizo happ kitaeleweka Inshallah.Habari Ndugu!