KERO Sijapata refund yangu Tsh 4.3M, Tigo wanadai hawajaona pesa zangu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Tareqmachoo

New Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
3
Reaction score
6
Habari Ndugu!

Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.

Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu. Kila siku naenda tigo shop wananizungusha.

Hiyo pesa ni nyingi sijui nafanyaje. Sitaki kuamini kama hiyo pesa imepotea. Wadau wa Jamii forums nifanyaje nisaidieni ?
.
Namba zangu ni : +255 659 172 401
.
#tigopesa #mastercad #tcra #bot #kero #tigopesamastercard
 
Hio umeliwa mimi sijapata refund yangu mwezi wa saba huu hadi nishaikatia tamaa japo sio hela nyingi lakini ilikatwa ki makosa nikaomba refund apple wanasema refund tayari halafu visa na crdb wanasema hawajaona hela sasa sijajua shida ipo huku ama huko apple maana nilipoomba refund walinijibu kwamba refund tayari italipwa within 30days za kazi lakini mpaka leo hola
 
Habari Ndugu!

Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.

Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu. Kila siku naenda tigo shop wananizungusha.

Hiyo pesa ni nyingi sijui nafanyaje. Sitaki kuamini kama hiyo pesa imepotea. Wadau wa Jamii forums nifanyaje nisaidieni ?
.
Namba zangu ni : +255 659 172 401
.
#tigopesa #mastercad #tcra #bot #kero #tigopesamastercard
Andika malalamiko yako na uyawasilishe tigo na pia nakala iende benki kuu ya Tanzania (BoT) - hata kwa barua pepe.

Usipojibiwa na tigo (Yass) ndani ya siku 14 toka ulipowasilisha malalamiko yako kwao basi utawasilisha malalamiko hayo benki kuu na wao ndani ya siku 14 watawaita Yass na wewe na kufanya kikao cha usuluhishi na kisipozaa matunda basi mtaitwa kwenye kamati ya uamuzi na suala lako kuamriwa kisheria.

Anuani ya benki kuu ni hii:
Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Huduma za Kifedha,
Benki Kuu ya Tanzania,
Mtaa wa Mirambo 2,
sanduku la posta 2939,
11884 Dar es Salaam
AU tuma kwa
barua pepe: complaints-desk@bot.go.tz;

Ukitaka ufafanuzi zaidi niPM au nicheki kwa 0713368153
 
Benki Kuu ya
Tanzania,
Mtaa wa Mirambo 2,
sanduku la posta 2939,
11884 Dar es Salaam
AU tuma kwa
barua pepe: complaints-desk@bot.go.tz;

Ukitaka ufafanuzi zaidi niPM au nicheki kwa 0713368153
Hii inaweza kua msaada??
 
Habari Ndugu!

Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.

Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu. Kila siku naenda tigo shop wananizungusha.

Hiyo pesa ni nyingi sijui nafanyaje. Sitaki kuamini kama hiyo pesa imepotea. Wadau wa Jamii forums nifanyaje nisaidieni ?
.
Namba zangu ni : +255 659 172 401
.
#tigopesa #mastercad #tcra #bot #kero #tigopesamastercard
Mkuu pambana kilakitu kinawezekana, usikate tamaa AliExpress walini refund tarehe 20 December 2024. Tigo wakaanza kunizingua nikaamua kushirikisha mamlaka husika, ingawa pesa iliorudi ni pungufu hata hivyo nashkuru, madai yangu yalikia ni tsh 626,000 pesa iliorudi ni 536,000. Nawashkuru dana Bot tumia anuani hizo happ kitaeleweka Inshallah.
16787.png
 
Pesa ikirudi tu hakikisha unaitoa kwenye tigo account na kuihifadhi sehemu yengine. Hela yangu ilirudishwa trh 9 January 25 saa 11:36 ilipofika saa 14:20 pesa iliondoloewa tena kuwauliza tigo wakadai AliExpress wamechukia tena, nikawambia nipeni ushahidi ili niweze kuidai huko AliExpress,wakashindwa kunipa ushahidi, nikarudi tena BOT NA TCRA leo saa tano pesa imerudi kwenye account yangu kimya kimya bila ya kupata msg yoyote, naangalia kwenye account mzigo umerudi kimya kimya.
 
Back
Top Bottom