Sijapenda hii sare, lakini Mgunda apewe mkataba haraka

Sijapenda hii sare, lakini Mgunda apewe mkataba haraka

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Simba ya sasa ni bora, na tuseme kuwa Yanga ikajipange.

magoli kama yale ni kweli Manula anaugonjwa nayo, hata Morrison alimfunga sana Manula kwa mtindo ule, lakini haindoi uhalisia kuwa bado ni golikipa bora.

Mgunda amefanya mageuzi makubwa ya klabu yetu pendwa na kurudisha tumaini ambalo liliondolewa na makocha wa kigeni wasioelewa Chemistry ya soka letu.

Nafasi ya Juma kushinda huu mchezo ilikuwa ni zaidi ya 60%, changamoto ya Dabi inaenda na presha hivyo utulivu unakuwa hafifu. Hongereni simba kwa soka bora, siyo lazima kila mechi ushinde, kupiga kandanda ya kujiamini inatia moyo.

Ninaamini Mgunda anacheza nusu fainali CAF, kumbuka maneno yangu.

Katika kufanya motisha ya makocha wa kizawa, SSC waache mbambambamba na wamtangaze Juma kama Kocha Mkuu haraka sana.

Mshahara wa Kocha Mkuu SSC si chini ya mil. 25 pamoja na benefits zote kama Kocha Mkuu ikiwa ni pamoja na kumpatia makazi tena Masaki au Oysterbay na usafiri binafsi kama jinsi ambavyo makocha wa kigeni hupewa hizo huduma.

Hii pia itatengeneza career path nzuri na motisha kwa makocha wengine wa ndani.

SSC na Yanga, kabla hamjaanza kuhangaika na makocha wa nje angalieni kwanza ndani, achaneni na mambo ya uzoefu, toeni uzoefu kwa kuwajenga makocha wa ndani ambao kwa asilimia kubwa watakuwa na uelewa mkubwa wa soka la Afrika na kujua hitaji la mashabiki.

Yanga huu mchezo ilikuwa tuwapige nyingi, ni presha tu ya Dabi, lakini huu mchezo leo ilikuwa tuwapige hata tatu.

Mjipime upya, maana kuna uwezekano mkubwa hata makundi ya shirikisho msicheze, siamini na sitokuja kuamini kama mtaweza kuwatoa Africa Club. Maana ile timu inapambana na timu kama Widady na Raja.

Huyu Nabi sasa anaenda kujaribiwa kwa mara ya pili, na safari yake ya makundi itaishia Tunisia, ndiyo mtajua kuwa kumbe shirikisho siyo ya maloser, na kuna haja ya kukukuza vipaji vya ndani.

Na nyie makocha wa ndani anzeni kujiamini na kujiongeza kielimu.
 
TUNA TOA DRAW NA LITIMU LINACHEZA SHIRIKISHO DAHH UTOPOLO NI UTOPOLO TU [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Simba ya sasa ni Bora, na tuseme kuwa Yanga ikajipange.

magoli kama yale ni kweli Manula anaugonjwa nayo , hata Morrison alimfunga sana Manula kwa staili ile , lakini haindoi uhalisia kuwa bado ni golikipa bora.

Mgunda amefanya a major reform ya Klabu yetu pendwa na kurudisha tumaini ambalo liliondolewa na makocha wakigeni wasioelewa Chemistry ya soka letu.

Chance ya Juma kushinda hii game ilikuwa ni zaidi ya 60%, changamoto ya Dabi inaenda na presha hivyo utulivu unakuwa hafifu, Hongereni simba kwa soka bora , sio lazima kila mechi ushinde, kupiga kandanda ya kujiamini inatia moyo.

Ninaamini Mgunda anacheza NUSU FAINALI , CAF ,Mark my words .


Katika kufanya MOTISHA ya makocha wa kizawa,SSC waache MBAMBAMBAMBA na wamtangaze Juma kama Head Coach haraka sana.

Mshahara wa Head Coach SSC si chini ya Mil 25 pamoja na benefits zote as Head Coach ikiwa ni pamoja na kumpatia makazi tena MASAKI au Osterbay na usafiri binafsi kama jinsi ambavyo makocha wa kigeni hupewa hizo care.

Hii pia itatengeneza career path nzuri na motisha kwa makocha wengine wa ndani.

SSC na Yanga, kabla hamjaanza kuhangaika na makocha wa nje angalieni kwanza ndani , achaneni na mambo ya uzoefu, toeni uzoefu kwa kuwajenga makocha wa ndani ambao kwa asilimia kubwa watakuwa na uelewa mkubwa wa soka la Africa Na kujua hitaji la mashabiki.

Yanga hii game ilikuwa tuwapige nyingi , ni presha tu ya Dabi, but hii game leo ilikuwa tuwapige hata tatu.

Mjipime upya, maana kunauwezekano mkubwa hata makundi ya shirikisho msicheze, siamini na sitokuja kuamini kama mtaweza kuwatoa Africa Club. Maana ile timu inapambana na timu kama Widady na Raja.

Huyu Nabi sasa anaenda kuwa tested kwa mara ya pili, na safari yake ya makundi itaishia tunisia, ndio mtajua kuwa kumbe shirikisho sio ya maloser, na kuna haja ya kupromote talents za ndani.

Na nyie makocha wa ndani anzeni kujiamini na kujiongeza kielimu.
Kwa mara ya mwisho kuwafunga Yanga ilikuwa mwaka gani? Mimi naamini sare ndiyo ushindi kwenu.
 
Mgunda ameshimdwa kushinda mechi yenye morale ya juu sana kwa simba hili ni doa, Yanga ameendeleza unbeaten na kutofungwa na Simba.

Kama yanga watarudi kwenye form yao next Game itakuwa ngumu kwa simba

Lakini kwa leo Yanga ni winner unless mnataka goli la ugenini[emoji16]

Winner nini, Hana DOA Juma ni safi . Mpira ndio upo hivo . SSC imepata reform recently , relax ...... TUKUTANE NUSU FAINAL CAF
NYIE TUKUTANE TENA KWA MKAPA MAANA SHIRIKISHO HAMCHEZI , NIAMINI
 
Mgunda ameshimdwa kushinda mechi yenye morale ya juu sana kwa simba hili ni doa, Yanga ameendeleza unbeaten na kutofungwa na Simba.

Kama yanga watarudi kwenye form yao next Game itakuwa ngumu kwa simba

Lakini kwa leo Yanga ni winner unless mnataka goli la ugenini[emoji16]
Kwa mpira gani mliocheza leo?
Halafu unazungumzia form gani ?
Si mlisema kipimio chenu cha shirikisho ni mechi ya leo
 
Back
Top Bottom