Sijapenda hii sare, lakini Mgunda apewe mkataba haraka

Wewe bwege unakazia kuwa yanga sijui hatafika wapi,kwani simba kwa mpira ule ataenda wapi?,mlitamba sana kuwa mtaifunga yanga haya yapo wapi sasa,mikia fc
 
golikipa gani ambae hafungwi magoli kama yale?? acha kukariri kwenye faulo mpigaji akipiga upande ambao ndio wamesimama wachezaji watatu wa kuzuia ukipita pale ni ngumu kipa kuokoa iyo faulo ndio maana wachezaji wa kuzuia faulo wanatakiwa waruke mpira usipite sababu kipa anakuwa hayupo upande ule.
 
Maneno meengii kumbe uharo tu, mara ya mwisho kumfunga yanga unaikumbuka au unajichetua akili? Na uyo mgunda wako kakutana na yanga mara ngapi na kapata ushindi mara ngapi mbele ya yanga? Kwamba mngeifunga yanga goli 3 leo kwa ubora upi ulionao ambao ungekufanya umfunge yanga hizo goli 3? Na mgunda uyu ndo unategemea akufikishe nusu fainali ya klabu bingwa!!! Na kikosi chenu icho icho, naona umbumbumbu ni mzigo mzito sana unawasumbua
 
Utajua hujui soonest , wait and see
 
Nikusaidie nini
 
Goli kama lile alilofungwa Manula hata makipa wa ukweli duniani huko wanafungwa sana tu, muhim mpigaji awe fundi wa kupiga set pieces. Zile nafasi alizopata Okrah na akafanya uchoyo wa kutoa pasi laiti zingepitia kwa Chama au Phiri bila shaka score board ingesoma tofauti.
 
Wewe bwege unakazia kuwa yanga sijui hatafika wapi,kwani simba kwa mpira ule ataenda wapi?,mlitamba sana kuwa mtaifunga yanga haya yapo wapi sasa,mikia fc
Amka usingizini Simba wapo groupe stage wameingiza 1.5b.
groupe stage wanaingia wanaume tupu wadada wapo shirikisho huko wengine punde watabaki home kulea watoto.
 
Simba twende na Mgunda, nae alambe asali hao wazungu hawana jipya
 
Wewe bwege unakazia kuwa yanga sijui hatafika wapi,kwani simba kwa mpira ule ataenda wapi?,mlitamba sana kuwa mtaifunga yanga haya yapo wapi sasa,mikia fc

Nyie hamjatamba. It is true hamtofika mbali na hamchezi shirikisho
 
Mkimpa mkataba tuu ndo ataboronga kabisa, ni kama mwanamke tuu kabla hujamuoa michecheto mingi , ukishamwingiza ndani tuu, anaanza na kunuka mdomo
Mambo hayaendi kimazoea hivyo

Upo uwezekano wa kujituma zaidi ili kuandika rekodi mpya ambayo hapo nyuma haikuwahi kutokea
 
Nakubali
 
yanga kafika golini mara 6 nyau mara 2 (short on target ) alafu unajitapa ungeifunga yanga

unaifunga vp hukuwa na mipira ya hatari golini kwake

Wait and see
 
Mambo hayaendi kimazoea hivyo

Upo uwezekano wa kujituma zaidi ili kuandika rekodi mpya ambayo hapo nyuma haikuwahi kutokea
Hamna shida , Mpeni mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…