Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hili jibu kwa njia ya swali linaonesha ulivyotumia akili kufikiri kiakili.mara sita goli moja,mwenzio mara mbili goli moja nani kiazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jibu kwa njia ya swali linaonesha ulivyotumia akili kufikiri kiakili.mara sita goli moja,mwenzio mara mbili goli moja nani kiazi?
Hizo takwimu wanazotumia hapo ni za Ligi kuu kiongozi siyo FA wala mapinduzi cup, ndiyo maana wanasema wao ni unbeaten mara 43 wakimaanisha kwenye Ligi kuuKumbe ilikuwa mwaka Gani? Fainali za Kigoma zilikuwa Julai 2021. Nyie mnakaririshwa mambo ya uongo na kuyabeba bila ya kufanya utafiti. Anayewaongopea ndiye alisema Yanga wenye akili ni baba yake na Kikwete.
Waseme kwenye Ligi Kuu siyo kufungwa na Simba. Jee kutofungwa na simba kumeizuia vipi Simba kutwaa ubingwa mara nne mfululizo? Yaani unamcheka mwenye Ghorofa kwa sifa ya kuwa na nyumba ya udongo iliyopakwa rangi!??Hizo takwimu wanazotumia hapo ni za Ligi kuu kiongozi siyo FA wala mapinduzi cup, ndiyo maana wanasema wao ni unbeaten mara 43 wakimaanisha kwenye Ligi kuu
nafikiri huelewi hata unacho jibumara sita goli moja,mwenzio mara mbili goli moja nani kiazi?
Umefika golini umefanya nini? Turudi pale pale unaweza ukazifanya shot on target zikawa magoli ila kama sio magoli ni upupu tuu mr Zipompayanga kafika golini mara 6 nyau mara 2 (short on target ) alafu unajitapa ungeifunga yanga
unaifunga vp hukuwa na mipira ya hatari golini kwake
Umemaliza mkuu yani na mbwembwe zote tupo kileleni mwa ligi. Mwisho wa siku makombe tulichukua miaka 4 mfululizo.Waseme kwenye Ligi Kuu siyo kufungwa na Simba. Jee kutofungwa na simba kumeizuia vipi Simba kutwaa ubingwa mara nne mfululizo? Yaani unamcheka mwenye Ghorofa kwa sifa ya kuwa na nyumba ya udongo iliyopakwa rangi!??
Mzungu wa Yanga ni yupi?Simba na Yanga wana ushamba fulani, sababu Yanga wana mzungu na wao watamtaka mzungu. Sasa sijui wanataka kipimo gani.
Usishangae sana fuatilia miaka ya 2000 mpaka 2010 hapo. Yanga wamewahi kukaa zaidi ya miaka 6 bila kumfunga Simba.Kwa mara ya mwisho kuwafunga Yanga ilikuwa mwaka gani? Mimi naamini sare ndiyo ushindi kwenu.
Ajabu kimataifa ndio wanawakilisha zaidi.Mikia makolo mbumbumbu fc
Utopwinyozzzznafikiri huelewi hata unacho jibu
mtu wa simba anasema alistahili kushinda mechi hii ndio nimemjibu yanga kafika golini mara 6 kwa mipira ya hatari nyau mara 2 vp anapo sema alistahili kushinda
ikiwa namba ya kushambulia kihatari jko chini wewe unacho jibu sijui hata ni nini
Ubora wa Simba haupimwi kwa kuifunga Yanga kama ilivyo kwa Yanga kuwa kuifunga Simba ndiyo kilele cha mafanikio yenu.Kwa mara ya mwisho kuwafunga Yanga ilikuwa mwaka gani? Mimi naamini sare ndiyo ushindi kwenu.
Mkuu embu jitahdi kuficha ujinga wako mbele ya kadamnasi... kwahio ile iliocheza mkwakwani kati ya Yanga na coast union mwaka jana 2021 ilikuwa ngao ya jamii au sio???Kumbe ilikuwa mwaka Gani? Fainali za Kigoma zilikuwa Julai 2021. Nyie mnakaririshwa mambo ya uongo na kuyabeba bila ya kufanya utafiti. Anayewaongopea ndiye alisema Yanga wenye akili ni baba yake na Kikwete.
Usiandike vitu vya ajabu kwa ujasiri. Fainali ya Azam Confederation Cup kati ya Yanga na Coastal Union ilikuwa ni Tarehe 2/07/2022. Sasa hapo tafuta mjinga kati yangu mimi na wewe!!Mkuu embu jitahdi kuficha ujinga wako mbele ya kadamnasi... kwahio ile iliocheza mkwakwani kati ya Yanga na coast union mwaka jana 2021 ilikuwa ngao ya jamii au sio???
Hamkukosea kuitwa mbumbumbu... em jaribu kuwauliza mikia wenzio fainali iliochezwa kigoma ilikuwa mwaka gani