Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Hii tabia ilyoibuka hivi sasa ni ya ajabu sana kila napovuka mkoa mmoja kwenda mwingine wabakakugua kitambulisho cha NIDA nakuniuliza naenda wapi, hii tabia haikuwepo kwasasa naona mambo yamebadilika labda nisababu ya maandamano ya D9 yamechangia kuwepo kwa ukaguzi huo.
Serikali toeni haki kwa umma hii tabia sijaona kama ina tija yoyote kwani maandamano yako palepale
Serikali toeni haki kwa umma hii tabia sijaona kama ina tija yoyote kwani maandamano yako palepale