Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Kama sina ID??Kwan shida Iko wapi?
We tembea zako na Id zako zote wape wakague na uendelee na mambo yako
Hii tabia ilyoibuka hivi sasa ni ya ajabu sana kila napovuka mkoa mmoja kwenda mwingine wabakakugua kitambulisho cha NIDA nakuniuliza naenda wapi ,hii tabia haikuwepo kwasasa naona mambo yamebadilika labda nisababu ya maandamano ya D9 yamechangia kuwepo kwa ukaguzi huo.
Serikali toeni haki kwa umma hii tabia sijaona kama ina tija yoyote kwani maandamano yako palepale
Tembea ata na barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyektKama sina ID??
Hakuna sheria ya barua ya wenyeviti wa CCM kutumika kama ID na pia wenyeviti ni haramu hawajachaguliwa na wananchi.Tembea ata na barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekt
Tembea na nyaraka bc kutoka kwa viongozi wako Wa kirohoHakuna hiyo sheria na pia Mwenyekiti ni haramu hajachaguliwa na wananchi.
Hakuna sheria au decree inayomtaka raia wa Tanzania kutembea na nyaraka yoyote katika nchi yake.Tembea na nyaraka bc kutoka kwa viongozi wako Wa kiroho
Hao NIDA wenyewe hawatoi ID ontime unamwambiaje mtu lazima awe na ID kusafiri.Kwan shida Iko wapi?
We tembea zako na Id zako zote wape wakague na uendelee na mambo yako
Unakosaje ID,unazurura kama kondoo wa albadir na huna ID!Kama sina ID??
Sawa endelea kuishi kwa mazoeaHakuna sheria au decree inayomtaka raia wa Tanzania kutembea na nyaraka yoyote katika nchi yake.
Sidhan kama hao wakaguz wanahtaji nida id tuHao NIDA wenyewe hawatoi ID ontime unamwambiaje mtu lazima awe na ID kusafiri.
Hatutaki mambo ya police state, mamilioni ya watu hawana vitambulisho, hii itasababisha watu kuwekwa ndani kwa kuonewa na wengine kuombwa rushwa, CCM wanachezea uhuru uliopiganiwa kwa damu na mababu zetuTembea ata na barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekt
Mamilioni ya watu hawana I’d wala document ya aina yeyote, nchi masikini sana hata serikali yenyewe njaa tupuSidhan kama hao wakaguz wanahtaji nida id tu
Tambea ata na id nyingne pamoja na documents muhimu
Bora ingekuwa id tuKwan shida Iko wapi?
We tembea zako na Id zako zote wape wakague na uendelee na mambo yako
Nchi sio masikini ila watu wake wengi ndio masikiniMamilioni ya watu hawana I’d wala document ya aina yeyote, nchi masikini sana hata serikali yenyewe njaa tupu
Duh! Haya yameanza lini tenaBora ingekuwa id tu
Mambo ya kushuka mpk mabegi yanakaguliwa duh
Wapuuzi wanataka kutugeuza kuwa Police state kamili.Hatutaki mambo ya police state, mamilioni ya watu hawana vitambulisho, hii itasababisha watu kuwekwa ndani kwa kuonewa na wengine kuombwa rushwa, CCM wanachezea uhuru uliopiganiwa kwa damu na mababu zetu