Sijapenda tabia ya Serikali kukagua kitambulisho cha NIDA kila unapovuka nje ya mkoa wako

Ndio matatizo ya kukabidhi madaraka makubwa kwa akili ndogo.

Huyu form four failure hafai kabisa hata kuongoza mtaa, maana hana akili ya kiongozi, huyu alifaa kuwa mama wa Nyumbani tu basi.

Sasa hivi ndivyo jinsi anavyoliongoza taifa la watu 67m??

Kwa hiyo hilo zoezi hapo ndio litasaidia kukamata hao raia wa kigeni wanaowahisi wamo inchini au?

Upumbav mtupu.
 
Vitambilisho vya NIDA wanavyo wananchi wachache sana, pia wapo wenye namba tu.
Hata hivyo, ni muhimu utambulisho wa utaifa uwepo.
Kwa hiyo, vitambilisho vitolewe sambamba na vyeti vya kuzaliwa kwa watoto na watu wazima wote wapewe baada ya uthibitisho kwamba ni raia.
Kwa sasa wengi wanaostahili hawana na wageni wasio raia hujitahidi sana kupata vitambilisho hivyo na passport.
 
Mpaka juzi nimevuka mikoa mitano na kurudi DSM, tena sehemu nyingine usiku.
Sijakaguliwa.
 
Swala la kitambulisho lilipaswa kuwepo kwa muda mrefu sana.
Pia polisi nao watembee na utambulisho na wafate sheria wanapotaka mkamata mtu
 
Chamsingi tembea na nyaraka yoyote inayoonesha Utanzania wako au kama siyo mtanzania uhalali wa wewe kuwepo nchini, kesi imeisha. Nje ya hapo litakalokukuta utalaumu watu bure.
 
Alipokuwa makamu wa Rais alikuwa anasema mwenyewe alikuwa anatamani kupika ila wanamkataza.
 
Alipokuwa makamu wa Rais alikuwa anasema mwenyewe alikuwa anatamani kupika ila wanamkataza.
Huyu ana sifa za kuwa beki tatu tu, hata sifa za kuongoza familia hana.

Hebu ona sasa hivi anavyotuchonganisha waislam na wakristo bila hata kujali athari zake zinaweza kudumu vizazi hadi vizazi.

Mama mwenye busara hawezi kuacha chuki ikatamalaki kwa watoto wake maana ndio mwanzo wa kusambaratika kwa familia na kuzalisha uhasama wa kudumu.

Huyu hata sifa za kuwa mama hana, sifa za kuongoza familia hana.
 
Kuna clip nimeona mtandaoni walikuwa wanaenda dodoma lile basi nimeona ni Shabiby

Ss km ki virambulisho huwa sitemvei navyo,viko mkoa mwingine na minkwa ss niko mkoa mwingine nataka nisafiri
Ss ndo nn hii
Kwa hali hii watu tutakuwa hatusafiri sasa
 
Mambo yameshabadirika Mkuu,
Serikali ina zani ina maadui wa nje, kumbe maadui imejitengenezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…