Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

NITAKUKAMATA TU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
347
Reaction score
432
Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki

Screenshot_20210911-190729.png
 
Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki

View attachment 1933705
Huyo jamaa hua anaandika chochote kile kimjiacho kichwani yeye na kitenge utofauti ni kidoti tu
 
Kiukweli mkuu ukisoma post yake ukiwa ujafatilia kitu , utaona biashara wanajivuna sana. kumbe ni upotoshaji
 
Ukweli ni upi hasa
Nilimsikia kuongozi wa biashara bwana Wabare akiongea kwenye kipindi cha sports extra akisema kuwa timu waliyocheza nayo sio timu ya kawaida,ina hostel,wachezaji wanakaa pamoja,ina kiwanja kizuri cha mazoezi,ina vifa vya kutosha vya mazoezi na ni timu kubwa.
Bwana mdogo Priva naona hapo kageuza maneno.
 
Bwana mdogo Priva naompaka unajiuliza dhumuni lake
ni nn kupotosha hivo
Nilimsikia kuongozi wa biashara bwana Wabare akiongea kwenye kipindi cha sports extra akisema kuwa timu waliyocheza nayo sio timu ya kawaida,ina hostel,wachezaji wanakaa pamoja,ina kiwanja kizuri cha mazoezi,ina vifa vya kutosha vya mazoezi na ni timu kubwa.
Bwana mdogo Priva naona hapo kageuza maneno.
 
Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki

View attachment 1933705
Nilikuwa nasikiliza mechi UTV ,baada ya mechi Wabere alipohojiwa alisema timu waliyocheza nayo ni timu nzuri na ina maendeleo makubwa kama uwanja mzuri ,hostel ,miradi mikubwa n.k

Amesemea kuhusu timu waliyocheza nayo na siyo kuhusu Biashara . Huyo dogo siyo mara ya kwanza hata kwenye tv live vitu vingi huwa anasema uwongo.
 
Nilikuwa nasikiliza mechi UTV ,baada ya mechi Wabere alipohojiwa alisema timu waliyocheza nayo ni timu nzuri na ina maendeleo makubwa kama uwanja mzuri ,hostel ,miradi mikubwa n.k

Amesemea kuhusu timu waliyocheza nayo na siyo kuhusu Biashara . Huyo dogo siyo mara ya kwanza hata kwenye tv live vitu vingi huwa anasema uwong
Cha ajabu media anayofanyia kazi ndio ilimhoji uyo kiongozi, alishi dwa nin kusikiliza record tena vizuri akaandika kiufasaha
 
Ni kweli hayo maneno aliyasema Meneja wa Biashara, hajaongeza neno wala kupunguza neno.

Mtoa mada kuna mahala unatatizo
 
Back
Top Bottom