NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
Huyo jamaa hua anaandika chochote kile kimjiacho kichwani yeye na kitenge utofauti ni kidoti tuWa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
View attachment 1933705
Kiukweli mkuu ukisoma post yake ukiwa ujafatilia kitu , utaona biashara wanajivuna sana. kumbe ni upotoshajiHuyo jamaa hua anaandika chochote kile kimjiacho kichwani yeye na kitenge utofauti ni kidoti tu
Nilimsikia kuongozi wa biashara bwana Wabare akiongea kwenye kipindi cha sports extra akisema kuwa timu waliyocheza nayo sio timu ya kawaida,ina hostel,wachezaji wanakaa pamoja,ina kiwanja kizuri cha mazoezi,ina vifa vya kutosha vya mazoezi na ni timu kubwa.Ukweli ni upi hasa
Nilimsikia kuongozi wa biashara bwana Wabare akiongea kwenye kipindi cha sports extra akisema kuwa timu waliyocheza nayo sio timu ya kawaida,ina hostel,wachezaji wanakaa pamoja,ina kiwanja kizuri cha mazoezi,ina vifa vya kutosha vya mazoezi na ni timu kubwa.
Bwana mdogo Priva naompaka unajiuliza dhumuni lake
ni nn kupotosha hivo
Nilimsikia kuongozi wa biashara bwana Wabare akiongea kwenye kipindi cha sports extra akisema kuwa timu waliyocheza nayo sio timu ya kawaida,ina hostel,wachezaji wanakaa pamoja,ina kiwanja kizuri cha mazoezi,ina vifa vya kutosha vya mazoezi na ni timu kubwa.
Bwana mdogo Priva naona hapo kageuza maneno.
Kivipi,hapo kanukuu yaliosemwa, mbinu dhidi ya nani sana?Ni mbinu bora ya ushindi
Nilikuwa nasikiliza mechi UTV ,baada ya mechi Wabere alipohojiwa alisema timu waliyocheza nayo ni timu nzuri na ina maendeleo makubwa kama uwanja mzuri ,hostel ,miradi mikubwa n.kWa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
View attachment 1933705
Kiukweli uyu mchambuzi mweupe sana kichwaniHuyo mwandishi Yuko kama wafuasi wa mtaa wa ufipa
Cha ajabu media anayofanyia kazi ndio ilimhoji uyo kiongozi, alishi dwa nin kusikiliza record tena vizuri akaandika kiufasahaNilikuwa nasikiliza mechi UTV ,baada ya mechi Wabere alipohojiwa alisema timu waliyocheza nayo ni timu nzuri na ina maendeleo makubwa kama uwanja mzuri ,hostel ,miradi mikubwa n.k
Amesemea kuhusu timu waliyocheza nayo na siyo kuhusu Biashara . Huyo dogo siyo mara ya kwanza hata kwenye tv live vitu vingi huwa anasema uwong