Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Sijapenda watu kuwa-overate Wamasai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana majina yao kama Mkapa, Nyerere n.k?Hapa hapa Tanzania, wana mambo mengi ila si vizuri kutaja ni bora kuheshimu mila, wana majina kama fisi, chui, mkapa, nyerere n.k
Wakazi wa wapi hao?Hapa hapa Tanzania, wana mambo mengi ila si vizuri kutaja ni bora kuheshimu mila, wana majina kama fisi, chui, mkapa, nyerere n.k
Jiheshimu, kijana mdogo sana wewe wa juzi tu. Una ushahidi wa wao kunuka nyuchi?????? [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Minguo ya ndni inafuga fangasi ma joto kupeleke nyuchi kunuka sana hasa Dar, nyu hi zao zinanika, vikwapa navyo vinanuka.
Usasa hauna cha maana kusema ukweli.
Masai wana amani kuliko makabila mengi.
AiseeAcha wamasai. Inaelkea mmasai ndio amekuzwana mzungu tu lakini utamaduni OG sio kweli kashika yeye ingawa Anajitahidi kudumisha.
ikokabila huku shamba nalima mimi mtu na dada zakwe wanaoga bwawa moja hakuna pichu, na kulala chumba kimoja wote anaekula puchi shauri yake.
mmoja alinipeleka kwake rini mita 200 hivi kabla kufika akaanza kuita jina la mkewe kwa sauti kubwa, nikamuulizaunafanya nini akasema anapiga hodi, huenda mkewe amepata mchepuko sasa anapiga hodi jamaa kama ytupo aweze ku " escape" akanimabia nyie ndio mnahangaika na hizi maku maku wao hwana story nazo kabisa wanajali mali.
Siku ya uchaguzi wa Magufuli nilimwambia kuna uchaguzi akaniambia wa nini n nani anachaguliwa nilishangaa sana , Kifupi wao ni maisha na mali na family yao basi mambo mengine hawana story nayo wanakutana nayo tu n.k
Pua yako inatosha, ingia kwenye daladala au pita kariakoo pale utahisi harufu za ajabu ajabu za fangasi walioozesha nyeti.Jiheshimu, kijana mdogo sana wewe wa juzi tu. Una ushahidi wa wao kunuka nyuchi?????? [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]