Sijapenda watu wanavyo-underrate Wamasai

Kwani wakisemwa hivyo wamaasai wanakufa?wanameguka?wanapotea?km hapana basi ungetoa na heshima wanayo stahili kupewa basi.mambo mengine potezea hata km we ni maasai.
 
Hapa hapa Tanzania, wana mambo mengi ila si vizuri kutaja ni bora kuheshimu mila, wana majina kama fisi, chui, mkapa, nyerere n.k
Wana majina yao kama Mkapa, Nyerere n.k?

Hivi Mkapa ni watu wa wapi? Kwa hiyo hao akina Mkapa ni wakali sana au??
 
habari iliyotufikia kwa sasa
“ajali imetokea wamekufa watu wa tatu na masai mmoja”

hapa nilichoka [emoji23]
 
Minguo ya ndni inafuga fangasi ma joto kupeleke nyuchi kunuka sana hasa Dar, nyu hi zao zinanika, vikwapa navyo vinanuka.
Usasa hauna cha maana kusema ukweli.
Masai wana amani kuliko makabila mengi.
 
Minguo ya ndni inafuga fangasi ma joto kupeleke nyuchi kunuka sana hasa Dar, nyu hi zao zinanika, vikwapa navyo vinanuka.
Usasa hauna cha maana kusema ukweli.
Masai wana amani kuliko makabila mengi.
Jiheshimu, kijana mdogo sana wewe wa juzi tu. Una ushahidi wa wao kunuka nyuchi?????? [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Aisee
 
Nawapenda wamasai jinsia ya kiume ni matam sana Yani kwenye mnyukano
 
Jiheshimu, kijana mdogo sana wewe wa juzi tu. Una ushahidi wa wao kunuka nyuchi?????? [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Pua yako inatosha, ingia kwenye daladala au pita kariakoo pale utahisi harufu za ajabu ajabu za fangasi walioozesha nyeti.
Masai ananuka samli, mjamja wa Dar ananuka miozo wa fangasi za miguu na kikwapa cha jasho la Dar.
Acha kudharau Masai.
Kama u abisha piga picha miguu, na nyeti zako uweke hapa.
Piga picha kikwapa chako hasa mida ya saa tisa unaporudi kazini.
Kama huna nilivyovisema basi mi najiondoa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…