Sijapendezwa kabisa na Jezi mpya za Barcelona

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
396
Reaction score
966
Wadau habari za usiku.

Mimi ni fanatic (mkereketwa) football fan na die hard Barcelona fan since 1993 enzi za Hristo Stoichkov na Romario De zouza.

Jezi mpya za Barcelona ambazo "Blaugrana" watazivaa msimu huu 2017-2018 sijaipenda kwasabab haipo ki traditional kivile kama Jezi kamili ya Barca tuliyozoea


Wakereketwa wa the Catalans tulilalamika sana Jezi ya msimu wa 2015-2016 hatukupendezwa na hizo Jezi hapo chini
Jezi zilizokuwa nzuri ni za msimu wa 2014-2015 na Msimu uliopita 2016-2017

2014-2015 ( Tulichukukua naya UEFA CF)

2016-2017 msimu uliopita

Jezi hii mpya ya msimu huu unaonza agosti tumestruck shirt sponsorship deal na kampuni ya online kutoka Japan RAKUTEN ya pauni milioni 48.
Endelea kusoma.
It is one of the biggest football shirt sponsorships yet seen and could make Barcelona wealthier than Real Madrid, currently the world's richest club.

The deal will begin with the 2017-18 season and last for four years.

It will earn the club at least £188m in that time, with more to come if the team wins the Spanish championship or the Champions League.

"This agreement puts us at the forefront of sports club sponsorships, which has always been an objective for the current board of directors," said the Barcelona president Josep Maria Bartomeu.

Ila nimeshaagizia Jezi yangu kutoka Nike japo sijapendezwa naya.

Barcelona till death!

Erythrocyte
 
Waache watuonyeshe walivyobarikiwa na Mungu, shaaa hadi raha jamani.
 
Erythrocyte
 

Jezi ndiyo inafunga goli na kubeba Kombe la Ushindi / Ubingwa au ni Wachezaji?
 
Hata mia hutoi afu unasema hujapendezwa!
nina lundo za Jezi za Barcelona hadi za croyf na ni orijino kwani hapo zijachangia. Tulipokuwa tunaishi ufaransa mara kwa mara nilidhuru Barcelona. Natayari nimeagiza hii mpya Nike.Com japo zijapendezwa naya. Kwani hapo sijachangia?
 
Nisaidie Namna Ya Kuagiza Nami Nichukue
 
Nisaidie Namna Ya Kuagiza Nami Nichukue
my brother what a wonderful encounter u r a typical blaugrana I can see even your avatar. Nitakusaidia mkuu usijali. Pia hata kama unataka vintage Barcelona Jezi hadi za 1970s yani za kila msimu ntakusaidia. Mimi ninazo lundo.
 
my brother what a wonderful encounter u r a typical blaugrana I can see even your avatar. Nitakusaidia mkuu usijali. Pia hata kama unataka vintage Barcelona Jezi hadi za 1970s yani za kila msimu ntakusaidia. Mimi ninazo lundo.
Nisaidie Kaka Tena Hasa Origino na Bei yake sh Ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…