Sijapendezwa kabisa na Jezi mpya za Barcelona

Sijapendezwa kabisa na Jezi mpya za Barcelona

Watanzania bhana....... Usizivae basi kama hujazipenda!!!!
 
Kiukweli jezi mbaya haina mvuto though nami ni barca damu but jez hovyoo
 
Sema staili za mistari hatuja zoea.tumeshazoea mistari ya wima minene ndio representation halisi ya barca..........naziona poa tu
 
Back
Top Bottom