Sijapendezwa kabisa na Jezi mpya za Barcelona

Tangu lini Barca wakawa na jezi nzuri?
Timu ikiwa na majezi ya mistari au michirizi kwangu no.
1. Barca
2. Juve
3. Celtic
4. Udinese
5. Westbrom
6. Sunderland
7. Stoke
8. Atletico Madrid
9. Deportivo L.
11.
12.
13.
 
Ninaipenda Barca tangu niliiona dream team enzi zile za kina Koeman, lakini sijawahi kuipenda jezi yao kwa sababu tu ya combination ya rangi za 'Brau' na 'grana' kutoendana...
 
Ciiipend barca ila mm n chiz wa jez vp unaagizaje izo jez na bei je
 
Tangu lini Barca wakawa na jezi nzuri?
Timu ikiwa na majezi ya mistari au michirizi kwangu no.
1. Barca
2. Juve
3. Celtic
4. Udinese
5. Westbrom
6. Sunderland
7. Stoke
8. Atletico Madrid
9. Deportivo L.
11.
12.
13.
Crystal palace
Inter Milan
Ac milan
Sporting Lisbon
Ajax
 
Mbona kitu rahisi tu mkuu watengenezee jezi zako unazozipenda kisha wape wavae
 
Mbona kitu rahisi tu mkuu watengenezee jezi zako unazozipenda kisha wape wavae
 
nina lundo za Jezi za Barcelona hadi za croyf na ni orijino kwani hapo zijachangia. Tulipokuwa tunaishi ufaransa mara kwa mara nilidhuru Barcelona. Natayari nimeagiza hii mpya Nike.Com japo zijapendezwa naya. Kwani hapo sijachangia?
Huyo croyf ndio nani,,nahisi hiyo jezi ulikua nayo pekeako ya
 
nina lundo za Jezi za Barcelona hadi za croyf na ni orijino kwani hapo zijachangia. Tulipokuwa tunaishi ufaransa mara kwa mara nilidhuru Barcelona. Natayari nimeagiza hii mpya Nike.Com japo zijapendezwa naya. Kwani hapo sijachangia?
Umechangia mkuu na una haki ya kuongea hisia zako kuhusu jezi nakumbuka mwaka flani tulizikataa jezi za arsenal pale emirate na tukasikilizwa japo mda ulikuwa umeenda kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…