Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu wale wanaoifagilia Israel nao unawaambiaje?Tutapinga unyama wowote dhidi ya binadamu bila kujali rangi zetu
Kwa mujibu wa familia yake na watu wanaoaminika nchi Rwanda , huyo mzee aliuawa na hili la ajari liliwekwa ili kupumbaza duniaUnapaswa kujibu Swali langu kwanza lakini kabla hujajibu Swali ulipaswa Ku admitt kosa la kiufundi ulilo lifanya kwenye andishi lako..Unaposema Rwigara ameuwawa watu wanakushangaa ujue.Unaonekana haujui unacho kiongelea .. Falsus in uno falsus in omnibus .." False in one thing false in everything "
I heard about all those rumours ..Do they have concrete evidence ? And what was the motive behind his killing?Kwa mujibu wa familia yake na watu wanaoaminika nchi Rwanda , huyo mzee aliuawa na hili la ajari liliwekwa ili kupumbaza dunia
inafanana na wale wabunge waingereza waliotaka kumzuia Mkapa kununu ile radar ya bei mbaya unnecessarily, au tupress order leo ya f35, wafadhili wetu wa bajeti lazima wanune!wale waholanzi wamekasirika kwa sababu wanaipa misaada Rwanda, wanaona wanatapakanya hela kwa mambo yasiyo na tija, gharama ya tangazo hilo ni kubwa kuliko hela itakavyorudi!
Ulijiuliza kisa cha minong'ono hiyo ? na je uliwahi kujiuliza kisa cha Dikteta Paul Kagame kuzuia binti mdogo sana Diane Rwigara kugombea urais wa Rwanda ?I heard about all those rumours ..Do they have concrete evidence ? And what was the motive behind his killing?
Ni kama wahayaSasa alikuwa anaitwa Rwigara? Rwandan naming system sio kama ya kibongo ukisikia MTU anaitwa Diane Rwigara maana yake ni kwamba Diane ni jina lake la kikristo na Rwigara ni jina lake la kinyarwanda..Matter fact baba ake Diane Rwigara alikufa kwa ajali ya gari ..hiyo kusema ameuwawa umeitolea wapi mkuu?
Vipi kuhusu udikteta wa Kagame ?Pole kwa kutojua kinachoendelea, arsenal inafanya biashara, serikali ya Rwanda imeamua kijitangaza kupitia club ya arsenal ambayo Rais huyo ni mshabiki wa timu hiyo, pia arsenal wanalipwa mamilion kwa kuitangaza Rwanda, hivyo acha watangaze pesa inaingia.
Bora ungezungumza kuhusu umasikini ongekuwa na hoja ya msingi at leastVipi kuhusu udikteta wa Kagame ?
Umekuja kufanya nini ?mkuu uzi wako hauna mashiko
Dunia yote imeshtushwa na jambo hiliwe kalia kupiga domo wenzako wanapiga hela !