Sijaridhishwa na kitendo cha Arsenal kupigia debe nchi ya Rwanda

We kama nani mpaka unataka kuridhishwa? au ulitaka waitangaze amabyo nayo kuna wasiojulikana
 
Kwa mujibu wa familia yake na watu wanaoaminika nchi Rwanda , huyo mzee aliuawa na hili la ajari liliwekwa ili kupumbaza dunia
 
Kwa mujibu wa familia yake na watu wanaoaminika nchi Rwanda , huyo mzee aliuawa na hili la ajari liliwekwa ili kupumbaza dunia
I heard about all those rumours ..Do they have concrete evidence ? And what was the motive behind his killing?
 
Ile ni deal ya biashara ambayo Rwanda [emoji1206] imeilipa Arsenal ili kujitangaza kiutalii. Ni sawa na deal kama Fly Emirates, Chevrolet, Sportpesa na nyinginezo watu wanaangalia biashara sio siasa wala itikadi
 
wale waholanzi wamekasirika kwa sababu wanaipa misaada Rwanda, wanaona wanatapakanya hela kwa mambo yasiyo na tija, gharama ya tangazo hilo ni kubwa kuliko hela itakavyorudi!
 
wale waholanzi wamekasirika kwa sababu wanaipa misaada Rwanda, wanaona wanatapakanya hela kwa mambo yasiyo na tija, gharama ya tangazo hilo ni kubwa kuliko hela itakavyorudi!
inafanana na wale wabunge waingereza waliotaka kumzuia Mkapa kununu ile radar ya bei mbaya unnecessarily, au tupress order leo ya f35, wafadhili wetu wa bajeti lazima wanune!
 
I heard about all those rumours ..Do they have concrete evidence ? And what was the motive behind his killing?
Ulijiuliza kisa cha minong'ono hiyo ? na je uliwahi kujiuliza kisa cha Dikteta Paul Kagame kuzuia binti mdogo sana Diane Rwigara kugombea urais wa Rwanda ?
 
Ni kama wahaya
 
Pole kwa kutojua kinachoendelea, arsenal inafanya biashara, serikali ya Rwanda imeamua kijitangaza kupitia club ya arsenal ambayo Rais huyo ni mshabiki wa timu hiyo, pia arsenal wanalipwa mamilion kwa kuitangaza Rwanda, hivyo acha watangaze pesa inaingia.
 
Vipi kuhusu udikteta wa Kagame ?
 
Hauwahusu kabisa! Hata wewe ukiaenda na pesa zako watakutangaza, pia yoyote yenye pesa ikitaka itangaxwe na timu yoyote, itatangazwa maana mwisho wa siku tajiri anataka kuona Faida.
 
Kagame ni mtu wao ndio maana unaona hawamletei zengwe kama walilokuwa wanamletea mugabe,yuko na sapoti ya mkoloni ufaransa na uingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…