Sijaridhishwa na kitendo cha Freeman Mbowe kujumuika pamoja na Wanaotuua

Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
I GUESS YOU ARE TYPING FROM SIX FEET UNDER ? WHEN WAS THE LAST TIME YOU CAUGHT SOME FRESH AIR. BROTHER YOU CANT BE DEAD , LET THAT MAN LIVE . HAUJAFA NA YEYE HAJAKUFAAA MAZEE
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Sawa ila waache wafu wazike wafu wao na ndege wa rangi moja huruka pamoja tulisema time will tell wana-Cuba mtanielewa eti
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Ni Mmoja wao hujaridhika kivipi? Kwani ni mara ya Kwanza kuhdhuria ? Mbowe si Mpinzani toka 2011 alikuwa anawachora tu
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
AMEJUMUIKA WAPI, FAFANUA KIDOGO RAFIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…