Sijaridhishwa na kitendo cha Freeman Mbowe kujumuika pamoja na Wanaotuua

Nwalilia NInyi na kiburi chenu.Manaacha siasa mnaleta Hisia.Mtu anajiuliza sasa ninyi mkisusa mnafikiri wengine nao watasusa?Watanzania mnaosema mnawatetea sijui mnawapigani sijua wanawaonaje hata...
Nilikustukia kitambo sana na vinyuzi vyako cha kizushi

Mtaendelea kujianika tu
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Uwepo wake hapo uko kimkakati zaidi hasa kutokana na hali ya sasa ya Chadema kupitishwa kwenye tanuru la moto ili ionekane kuwa haikuwa sahihi Mbowe kutochaguliwa kuendelea kuwa Nkurunzinza wa Chadema.
 
Hawa watu wawili Mbowe na Lissu wana misimamo tofauti kisiasa.

Wakati Lissu ana misimamo mikali, Mbowe ni kinyume chake, hana misimamo mikali.

Sioni sababu ya kuendelea kumrushia mawe licha ya kuwa ameshaondoka uongozini.

Yule ni mtu mzima mwenye maamuzi yake binafsi, ana maisha yake, anajiamulia nini afanye ilimradi asivunje sheria za nchi

Huku kumpangia nini afanye ni kumkosea Mbowe binafsi, na kuikosea demokrasia tunayodai kuipigania kila siku, asiingiliwe kwenye maamuzi yake, tusiwe madikteta kwa wengine.

"Ukomavu wa kisiasa" una maana paja sana, naona wengi humu bado sana kuifikia level hiyo. Unataka kumpigia simu kwa sababu gani sasa!

Unataka awe mtumwa wako kufuata kile utakacho?!

Haya mambo mengine ni kumeza mate na kuyaacha yapite, sio kila jambo linalotokea kinyume na matarajio yake ulipigie kelele.
 
Mbowe alichukia sana kitendo cha lissu na Heche kuongoza chadema. Chama kilikua mradi wake unategemea nini . Acha aendelee kula na CCM ndio wenzake.
 
Hawa watu wawili Mbowe na Lissu wana misimamo tofauti kisiasa.

Wakati Lissu ana misimamo mikali, Mbowe ni kinyume chake, hana misimamo mikali.

Sioni sababu ya kuendelea kumrushia mawe licha ya kuwa ameshaondoka uongozini.

Yule ni mtu mzima mwenye maamuzi yake binafsi, ana maisha yake, anajiamulia nini afanye ilimradi asivunje sheria za nchi

Huku kumpangia nini afanye ni kumkosea Mbowe binafsi, na kuikosea demokrasia tunayodai kuipigania kila siku, asiingiliwe kwenye maamuzi yake, tusiwe madikteta kwa wengine.

"Ukomavu wa kisiasa" una maana paja sana, naona wengi humu bado sana kuifikia level hiyo. Unataka kumpigia simu kwa sababu gani sasa!

Unataka awe mtumwa wako kufuata kile utakacho?!

Haya mambo mengine ni kumeza mate na kuyaacha yapite, sio kila jambo linalotokea kinyume na matarajio yake ulipigie kelele.
Lengo la kumpigia ni kutaka ufafanuzi wa jumuiko lake hilo labda nitamuelewa
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
We ulikua hapo hapo unalala na mbwa hujui katoka kubweka wapi.
Bwege sana wewe, kawaachia Chama chenu na mwanzilishi (mkwe)kafa vilevile sasa nyie endelezeni mjue, hamjui
 
Tulikustukia muda sana
Unajua Shida ya watu kama wewe ni kwamba mnafikiri kwamba Kila mtu anafikiri ujinga kama ninyi.Kwanza elewa kwamba Huku Online tupo watu wenye fikra na mtazamo tofauti,Pili ninyi hiyo njia mnayofikiria kuitumia kuleta mabadiliko sio kwamba kila mtu anaiona iko sahihi na hao watu ambao mnawaona ni mashujaa wengine tunawafahmu kuliko ninyi mnavyowafahamu.

Tunawatazama namna mnavyoendeshwa na hisia kama vigoli tunawaonea huruma.Huyu Mbowe wakati ananyolewa mlikuwa mnamsfia online wakati yeye yuko lockup ananyea Ndoo,Alipotoka baada ya kupata muafaka mkamuita msaliti amelamba asali.

Mmepata huyu Mnyaturu ambaye hajui ninyi ni watu wa aina gani.Anasimama kuwapigania kawekwa lockup ninyi mnamuita shujaa siku mambo yakikaa sawa akiachiwamnamuita msaliti wakati ninyi ile Oktoba 29 Mlikuwa t online mnatype.Mgetoka tu mkakae nae lockup kuonesha solidarity,Badala yake mkawapump madogo wasioelewa kitu wakaingia kitaa,wakapoteza maisha mkaishi kuwaita mashujaa na ninyi mpo hapa na Vi ID vyenu vya JF mnapiga tu kelele na kuleta vimisimamo vya kishamba.

Embu Nitolee Eti Ushanishtukia.Wewe ndi umeshtukiwa sisi tupo kama tulivyo...
 
Andiko reeeeefu lakini hamna kitu
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Wewe si ulikuwa housegirl wake? Acha unafiki. Ikiwezekana Heche akitimue CHADEMA kwa sababu wewe ni mfuasi wa Mbowe. Ni pandikizi.
 
Nyie makum* kweli, yaani yeye asichangamkie fursa za biashara zake kisa nyie misukule?!!!! Pumbavu kabisa.
 
1. Mbowe kama mtanzania anao uhuru wa kujumuika na yeyote, ili mradi asivunje sheria za nchi!

2. Kwani ni lini mlianza kuwapangia wajumbe wenu jinsi ya kuishi maisha yao?

3. Unamlaumu mbowe kwenda rufiji, lakn wewe kutazama hlo tukio kweny tv upo sawa?

4. Mbona amewaachia chama kwa nini mnakomaa naye?

5. Mmemtukana sana lakn akaamua kukaa kimya, mnawashwa washwa nini kufuatilia maisha yake?

mnazungumzia habari za taarifa za kamati kuvuja, mnamjua simple men watatu mlio nao kamati kuu yenu? na mnawaamini!

mtazinduka, tayari maudenda ameishapigwa kitanzi!
 
Back
Top Bottom