Sijaridhishwa na kitendo cha Freeman Mbowe kujumuika pamoja na Wanaotuua

Unachukia Mbowe kuhudhuria kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl. Nyerere lkn kesho utafurahia kutumia umeme kutoka bwawa hilo hilo...ujinga tupu
 
Huyu mtu hakusitahili kuiongoza chadema, bila shaka hana sifa ya kuwa mpinzani wa kweli, asanteni sana wajumbe wa baraza kuu kwa kumpumzisha huyu siasa huyu mtu.
Kwamba wewe ndiyo ungefaa kuongoza chadema
 
Loyalty kwa hao jamaa wa Kaskazini ni mtihani,ni wabinafsi halafu chuki ndiyo mahali pake.

Kinyongo cha kupokonywa biashara yake ataingia nayo hadi kaburini na kuna wajinga waliamini anaendesha chama kwa pesa zake za mfukoni.😁
 
Mbowe alichukia sana kitendo cha lissu na Heche kuongoza chadema. Alikuwa anataka aendelee kupiga mapesa ya kifisadi ya CCM mshenzi yule
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
We mbwa maskini Mbowe mwenye chama na atarudishiwa chama chake subirini nyie mazombie. Msipende kula jasho la wenzenu anzisheni chama chenu
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Mimi mwenyewe nimejipiga marufuku hata ktk TV sifuatili kabisa.
 
Si alikuwa mwenyekiti wa CDM? Au wao CDM wanasemaje?
Cdm walibugi pale. Kitendo cha kukaa madarakani zaidi ya miaka 10, pale ndio alianza kuinajisi cdm. Cdm wasiridie tena kiongozi kukaa kwenye nafasi moja ya kuchaguliwa zaidi ya miaka 10.
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Ulitaka ajumuike na wachoma miundombinu,wezi,wakata vidole watu,waua askari?
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Kwani kashafikia bei?
 
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill

Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Tangu lini Mbowe alikuwa tofauti na wanaowaua??
 
Back
Top Bottom