Tatizo lako ndilo hilo, hata jana nilikueleza. Mbowe naye ni binadamu kama ulivyo wewe. Hivi alivyotendewa wakati wa kampeni ilikuwa sawa? Naamini donda lake bado bichi. Tumuache with time atarecoverHuo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.