Hamia stand united
Mwarabu mwaka jana alijinyea.BDF tu imewachanganya mpaka wameanza kupagawa je wangepewa wazee wa klabu bingwa ingekuaje.
Mwarabu mwaka jana alijinyea.
Kwa hiyo baadaye mkamtoa au alivyojinyea mkakimbia harufu?
Mlipoambiwa kombe la washindi linashirikisha timu dhaifu mlikataa, makhirkhir walipokuja dsm na kuwafunga mkajisifu, sasa mnaanza kutafuta visingizio je mngepewa El-mereikh ingekuaje?
Mbona simba haijashiriki, au sio dhaifu?
Yanga ni sawa na Arsenal ya UK hakuna chochote na nafikiri wamebahatisha kupata hata ako ka goli kamoja. Hata hivyo nawapa pongezi kwa kupitia hii hatua. Lakini inabidi wajirekebishe kwenye midfield vinginevyo watachapwa mabao mengi kwenye round ya pili. Ili la kombe la washindi lina vibonde mimi sijui. Ushind I ushindi HONGERA WANANGU daima mbele
Simba ilishiriki kombe la Mapinduzi na Kombe la nani mtani jembe na yote ikayabeba.
Inabidi mechi zinazofuata wapaniki zaidi ili wazawadiwe na red card kama mbili hivi na baadaye watolewe kabisa kwenye mashindano, maana wenyewe mnasema mechi za mtoano hamziwezi, kwa hiyo hata mkitolewa hakuna ajabu.
Hatuhitaji ushauri wenu......endeleeni kung'oa visiki BUNJU
Wanaweza wakavuka mstari wa Ikweta ikitokea wamepangwa na timu za Sudani Kusini, Djibout au Eritrea.Hata kama wameshinda nakuhakikishia hawatavuka mstari wa Ikweta. ......wao mwisho ni Botswana, lesotho, swaziland , Mbeya etc
Watanzania hatujafundishwa kujikubali madhaifu yetu,ndo maana tunapenda kulalamika bila kuchukua hatua.Mleta hoja kasema vizuri madhaifu na mapungufu ya mechi ya jana,watu wanachangia kama vile ameponda,mtoa hoja kwa hoja yake kajinasibisha kuwa yeye ni mshabiki wa Yanga,kwanini watu wengine hamumuelewi? Ni kosa la mfumo wa nchi,au kosa la wanasiasa au ni UVIVU wetu wenyewe wa kusoma,kujifunza na kuelewa? Ni lazima tujirekebishe tulipokosea,let say unakutana na timu kama Al Setif,kwa mpira ule na matokeo yale,ndo anachokisema mtoa hoja.
Sisi yanga tunapenda kuzungumzia matatizo yetu,sio kama nyie simba kila siku mnaposti issue za yanga kila kukicha,niliposema hawa jamaa dhaifu sikumaanisha uzaifu kama wa stand united bali ni dhaifu kulingana na timu zinazokuja mbele
Kama yanga ambaye yupo mashindanoni ni msindikizaji ,simba ni nani
Kama yanga ambaye yupo mashindanoni ni msindikizaji ,simba ni nani
Mpira wa miguu unamatokeo ma3 kushinda,kufungwa na kutoa droo na simba hata siku 1 haitaitakia mema Yanga na watajificha kwa kujifanya wanatoa ushauri Yanga ikitolewa ndo mpira haitakuwa ya kwanza wala ya mwisho ndo mpira ulivyoWatanzania hatujafundishwa kujikubali madhaifu yetu,ndo maana tunapenda kulalamika bila kuchukua hatua.Mleta hoja kasema vizuri madhaifu na mapungufu ya mechi ya jana,watu wanachangia kama vile ameponda,mtoa hoja kwa hoja yake kajinasibisha kuwa yeye ni mshabiki wa Yanga,kwanini watu wengine hamumuelewi? Ni kosa la mfumo wa nchi,au kosa la wanasiasa au ni UVIVU wetu wenyewe wa kusoma,kujifunza na kuelewa? Ni lazima tujirekebishe tulipokosea,let say unakutana na timu kama Al Setif,kwa mpira ule na matokeo yale,ndo anachokisema mtoa hoja.