Sijaridhishwa na mchezo wa Yanga

Sijaridhishwa na mchezo wa Yanga

Yanga ni sawa na Arsenal ya UK hakuna chochote na nafikiri wamebahatisha kupata hata ako ka goli kamoja. Hata hivyo nawapa pongezi kwa kupitia hii hatua. Lakini inabidi wajirekebishe kwenye midfield vinginevyo watachapwa mabao mengi kwenye round ya pili. Ili la kombe la washindi lina vibonde mimi sijui. Ushind I ushindi HONGERA WANANGU daima mbele
 
Mlipoambiwa kombe la washindi linashirikisha timu dhaifu mlikataa, makhirkhir walipokuja dsm na kuwafunga mkajisifu, sasa mnaanza kutafuta visingizio je mngepewa El-mereikh ingekuaje?

Mbona simba haijashiriki, au sio dhaifu?
 
Hata kama wameshinda nakuhakikishia hawatavuka mstari wa Ikweta. ......wao mwisho ni Botswana, lesotho, swaziland , Mbeya etc
 
Yanga ni sawa na Arsenal ya UK hakuna chochote na nafikiri wamebahatisha kupata hata ako ka goli kamoja. Hata hivyo nawapa pongezi kwa kupitia hii hatua. Lakini inabidi wajirekebishe kwenye midfield vinginevyo watachapwa mabao mengi kwenye round ya pili. Ili la kombe la washindi lina vibonde mimi sijui. Ushind I ushindi HONGERA WANANGU daima mbele

Europa league ya kibongo bongo
 
Inabidi mechi zinazofuata wapaniki zaidi ili wazawadiwe na red card kama mbili hivi na baadaye watolewe kabisa kwenye mashindano, maana wenyewe mnasema mechi za mtoano hamziwezi, kwa hiyo hata mkitolewa hakuna ajabu.

Kule mechi hazinunuliki
 
Watanzania hatujafundishwa kujikubali madhaifu yetu,ndo maana tunapenda kulalamika bila kuchukua hatua.Mleta hoja kasema vizuri madhaifu na mapungufu ya mechi ya jana,watu wanachangia kama vile ameponda,mtoa hoja kwa hoja yake kajinasibisha kuwa yeye ni mshabiki wa Yanga,kwanini watu wengine hamumuelewi? Ni kosa la mfumo wa nchi,au kosa la wanasiasa au ni UVIVU wetu wenyewe wa kusoma,kujifunza na kuelewa? Ni lazima tujirekebishe tulipokosea,let say unakutana na timu kama Al Setif,kwa mpira ule na matokeo yale,ndo anachokisema mtoa hoja.

Huwezi badili jiwe kwa kulichemsha, yanga wabovu tu. Yeboyebo mwisho magomeni kimataifa ina wenyewe wenye rekodi ya fainali ambayo haitafikiwa na timu yoyote labda Simba yenyewe ije iivunje kwa kuchukua kombe kabisa.
 
Sisi yanga tunapenda kuzungumzia matatizo yetu,sio kama nyie simba kila siku mnaposti issue za yanga kila kukicha,niliposema hawa jamaa dhaifu sikumaanisha uzaifu kama wa stand united bali ni dhaifu kulingana na timu zinazokuja mbele

Kweli matatizo mnayo tena kuzidi stand united maana kupigwa goli 5 kwa sifuri kama prison mna haki ya kujadili. Mlidhani na huko kuna kuhonga kama mnavyohonga vitimu vya bongo ili muwe wasindikizaji wa kombe la washindi kila mwaka.
 
Kama yanga ambaye yupo mashindanoni ni msindikizaji ,simba ni nani
 
Kama yanga ambaye yupo mashindanoni ni msindikizaji ,simba ni nani

Anatumia milioni zake 100 alizozivuna Mtani jembe na Mapinduzi cup huku akimsubiri mwali wake tarehe 8/3/2015 ajipigie vitatu au viwili tena.
 
Watanzania hatujafundishwa kujikubali madhaifu yetu,ndo maana tunapenda kulalamika bila kuchukua hatua.Mleta hoja kasema vizuri madhaifu na mapungufu ya mechi ya jana,watu wanachangia kama vile ameponda,mtoa hoja kwa hoja yake kajinasibisha kuwa yeye ni mshabiki wa Yanga,kwanini watu wengine hamumuelewi? Ni kosa la mfumo wa nchi,au kosa la wanasiasa au ni UVIVU wetu wenyewe wa kusoma,kujifunza na kuelewa? Ni lazima tujirekebishe tulipokosea,let say unakutana na timu kama Al Setif,kwa mpira ule na matokeo yale,ndo anachokisema mtoa hoja.
Mpira wa miguu unamatokeo ma3 kushinda,kufungwa na kutoa droo na simba hata siku 1 haitaitakia mema Yanga na watajificha kwa kujifanya wanatoa ushauri Yanga ikitolewa ndo mpira haitakuwa ya kwanza wala ya mwisho ndo mpira ulivyo
 
Back
Top Bottom