Sijashangaa wala kushtuka Mbowe kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi

Hao wahamiaji haramu wangepitia wapi hadi kumfikia Mbowe na hatimaye kuwa Askari wake? (Ina maanisha kuna uzembe mkubwa kwenye idara ya uhamiaji)
Tumia akili za kawaida tu sio lazima uwe na PhD.
sasa aliwezaje kuwaajiri askari walio asi?! inaonekana lengo la Mbowe ilikuwa ni kuwa na kundi kubwa zaidi la kijeshi kwa lengo baya zaidi, huyu jamaa alikuwa anataka kuichafua kabisa nchi yetu ndio maana tunasema mtandao wake uchunhuzwe kikamilifu.
inawezekana hao walio kamatwa ni wachache...inaonekana wapo wengi walio rubuniwa na kujiingiza.
 
sirro kamaliza- Nyie mnamuona Mbowe kama Malaika- mkutane mahakamani yeye una ushahidi nyinyi mna mandamano na matamko. Tunasubiri
 
Sio kwenye siasa tu ,mbowe anatajwa kuwadhuru ndugu zake hata vifo pia

USSR
Unaonaje ukimtafuta huyo alokutonya hayo, mlipeleke polisi/takukuru haraka, muwasaidie waachane na vya kuokoteza.
 
Utopolo mwingi:

1. Polisi kutia mtu hatiani imekaa je?
2. Bora ungemworodhesha Sumaye mwonja sumu kwa ulimi labda angekupa support?
3. Dhidi ya Lissu, Sanane, Azory, Mawazo, wa kwenye viroba nao wote umeyasahau. Huoni ungekuwa na hoja za msingi zaidi?

Hiiiiii bagosha!
 
Hivi mnatuonaje watanzania?
 
Kwahiyo usiposhangaa na kustuka wewe inakuwa ni kweli?
 
Salome mbatia naye aliutaka uenyekiti wa chadema, maana naye alikufa kwa ajali?
chains of evils events, juzi nilienda kwa yericko kigamboni bahati mbaya sikumpata nikafika mpaka mwembe mdogo nikatalii pale na kuyaangalia maghorofa yaliyoyupwa sijui na nani nikatamani kuokota mojawapo lengo kuu la safari ni kwenda kumshauri yericko juu ya kugombea uenyekiti tunaamini kijana huyu ni jasiri sana na anafaa sana
 
Ni vyema chadema wakafanya mkutano na kumchagua mwenyekiti mwingine mpya ili kurudisha demokrasia ndani ya chama
Chadema ni yakikanda zaidi.
Ni ngumu mtu kutoka kanda tofauti kuwa mwenyekiti ndani ya Chadema.
Mwenyekiti mpya lazima atoke kanda ile ile, na hiyo itakua ni kubadili chupa tu, wakati mvinyo ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…