shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,693
- 1,432
Kusimamia sio kusimamia mafundi hawapigi story...kwani kitu kizuri haujui...ramani kusoma haujui kuhesa je ..kaa chini na fundi tofauti waulize zege NI mifuko ningapi kawa kokoto kiasi gani na mchanga kiasi gani...Plata NI mfukonmingapi kwa mchanga kiasi gani...simamia vipimo...nondo..cemnt na nondo ndio vitu waibavyo zaidi...