sijatendewa haki kwa kweli !

sijatendewa haki kwa kweli !

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
Samahanini japo kuwa hapa siyo mahali pake, matokeo ya mara ya kwanza nillipata zero yamesahihishwa upya na yametoka leo bado
nimepata zero ileile, siku nzima ya leo sijala asee siamini hata kidogo wakati mimi nilikuwa na akili, naombeni ushauri wenu mwenzenu nataka kujinyonga.
 
unapendelea kamba au shuka?
au tukupe mbinu zaidi?
 
Mdogo wangu Asango,kufeli mtihani haina maana hauna akili,bali inategemea na usahihishaji na mazingira uliyo somea.
Tafadhali,ondoa wazo la kujiua,
unaweza uka re sit na kufanya vizuri.
 
Last edited by a moderator:
suicide-risk.jpg
 
Huna raha kivipi kama n uchungu ulishaupata mara ya kwanza ukapoa yasingerudiwa kusaishwa ungefanyaje? Yale ya awali ndo yalikuwa matokeo sasa haya ya pili ni kama part two tu so jipange halafu si lazima usome unaweza fanya ishu zingine
 
Mdogo wangu Asango,kufeli mtihani haina maana hauna akili,bali inategemea na usahihishaji na mazingira uliyo somea.
Tafadhali,ondoa wazo la kujiua,
unaweza uka re sit na kufanya vizuri.

Mkuu asikuchoshe huyo wenye uchungu walishajinyonga kabla ya kujua kama yatapangwa upya
 
Last edited by a moderator:
samahanini japo kuwa hapa siyo mahali
pake,matokeo ya mara ya kwanza nillipata zero
yamesahihishwa upya na yametoka leo bado
nimepata zero ileile,siku nzm ya leo sijala asee
siamini hata kidogo wkt mm nilikuwa na
akili,naombeni ushauri wenu mwenzenu nataka
kujinyonga

Huna lolote wenzio walishaamua pale tu yalipotangazwa awali dogo tulia usome kutwa mpo internet na kusikiliza miziki mtafauluje
 
usijiue. Usijiue . Usijiue. Usijiue kufeli sio mwisho wa maisha wapo wasomi wengi tu na kazi hawana .sasa hii iwe challenge kwako toka nje ya box utaona vitu vya kufanya.
 
Usijiue rudia upyaaaaa!wote wanaopata matokeo yasiyo mazuri kwao wangejiua ingekuwaje? Je mulugo angekuwepo?viti maalumu wangekuwepo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu usijiue, risiti tena na mwamin Bwana Yesu atakusaidia.
 
Samahanini japo kuwa hapa siyo mahali pake, matokeo ya mara ya kwanza nillipata zero yamesahihishwa upya na yametoka leo bado
nimepata zero ileile, siku nzima ya leo sijala asee siamini hata kidogo wakati mimi nilikuwa na akili, naombeni ushauri wenu mwenzenu nataka kujinyonga.

Pole sana mdogo wangu!Sasa ulifikiri ile picha ya Zombie uliyoichora ndiyo ingesababisha alama zako kuongezeka?(it's a joke). Nakushauri usifanye maamuzi ya kujiua you are still young and still there is a chance for you to make it. Jaribu kuresit mtihani au uruide kidato cha tatu. Kuna rafiki yangu alishawahi fanya hivyo na akafaulu, sasa hivi anakula maisha kuliko hata mimi ambaye nilichaguliwa moja kwa moja A level miaka hiyo ya late 90's.
 
Samahanini japo kuwa hapa siyo mahali pake, matokeo ya mara ya kwanza nillipata zero yamesahihishwa upya na yametoka leo bado
nimepata zero ileile, siku nzima ya leo sijala asee siamini hata kidogo wakati mimi nilikuwa na akili, naombeni ushauri wenu mwenzenu nataka kujinyonga.

subr part 3
 
Back
Top Bottom