Ed edd n eddy
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 212
- 270
Zanzibar joto pia nishapozea hapako interesting tenaukuje stone twn wallah utainjoy
sent from home
😂😂😂😂😂😂Mimi Tangu 2000-2001 sijawai kaa zaidi ya siku tatu nje ya Dar ila mwaka huu au mwakani Mungu akijalia nitaenda nyanda za juu kusini
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hahaha wewe jamaa bwana. Juzi kati hapa nilipita Morogoro wakati naenda Dodoma, lile nililokutana nalo moro siyo la dunia hiii.Nenda morogoro au lushoto
Vijana wa dar watasemaje hapo??Sehemu ambayo hali yake ya hewa huwa naikubali kuliko sehemu zote za Tanzania ni Arusha. The weather is very friendly......
Hahahahahaa.
Mkuu hilo jina lako limenikumbusha mbali sana[emoji23][emoji23]Habari zenu
Kama kichwa cha habari kinavojieleza,joto la dar limenichosha nahitaji kutoka hata kwa siku tatu nipumzike niende mkoa wowote wenye hali ya hewa nzuri..
Inshort mimi sio mtembezi sana maisha yangu yote yapo dar na zanzibar mikoani mara ya mwisho kwenda ni 2006 arusha.
Mimi umri ukisogea sogea itanibidi nirudi huko huko kwenye chimbuko letuHahahahahaa.
Braza heshima yako sanaaa. Hali ya hewa ya Arush huwezi kuilinganisha na Dar es salaam bwana. There's just something special about Arusha, hivi unajua katika maamuzi ambayo namuunga mkono Raisi ni kuhamishia serikali Dodoma ? Daslam unaishi tu ufanye sasa....
Braza mimi ndugu yako nakutakia kila la kheri katika hilo. Pumzika tu sehemu nzuri ambayo hawatakupa stress za uzeeni.Mimi umri ukisogea sogea itanibidi nirudi huko huko kwenye chimbuko letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Morogoro kuna joto pia?Hahaha wewe jamaa bwana. Juzi kati hapa nilipita Morogoro wakati naenda Dodoma, lile nililokutana nalo moro siyo la dunia hiii.
Yeah mkuu,good old times au sio?Mkuu hilo jina lako limenikumbusha mbali sana[emoji23][emoji23]
"Utamu wa uji ni kutingisha bakuli"