Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,093
Kwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile Taste iliyomo ndani yake.

Juzi kuna Jamaa akaniletea Moja akiwa anaiuza.

Katika kuendesha hii gari nimegundua, yafuatayo:

1. Gari ni nyepesi sana unapofika speed kuanzia 120, inahitaji uwe makini sana kuicontrol..

2. Gari iko juu na inakosa balance kiasi kwamba kwenye kona kali ni msala mtupu kama ukiingia kichwa kichwa..

3. Haikupi comfortability nzuri ukilinganisha hata na Brevis...Yaani ukiwa kwenye Brevenga au Crown unasikia raha zaidi ya Harrier.

4. Ina fuel consumption kubwa tofauti na perfomance yake. (Yaani haina nguvu wala ubora mkubwa kulinganisha na utumiaji wake wa mafuta)

5. Bei Yake nadhani ilipanda kutokana na demand ya watu sababu ya kuigana ila ni gari ya kawaida sana....i would rather go for a cheaper Subaru forester XT than Harrier.

NB: Matamanio yangu kwenye Hii gari yameisha Rasmi na sijaandika uzi huu kuziponda, ila tu nilikuwa na over Expectations. ASALAM ALLEIKUM.
 
Kwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile Taste iliyomo ndani yake.

Juzi kuna Jamaa akaniletea Moja akiwa anaiuza.

Katika kuendesha hii gari nimegundua, yafuatayo:

1. gari ni nyepesi sana unapofika speed kuanzia 120, inahitaji uwe makini sana kuicontrol ..

2. Gari iko juu na inakosa balance kiasi kwamba kwenye kona kali ni msala mtupu kama ukiingia kichwa kichwa..

3. Haikupi comfortability nzuri ukilinganisha hata na Brevis...Yaani ukiwa kwenye Brevenga au Crown unasikia raha zaidi ya Harrier.

4. Ina fuel consumption kubwa tofauti na perfomance yake. (Yaani haina nguvu wala ubora mkubwa kulinganisha na utumiaji wake wa mafuta)

5. Bei Yake nadhani ilipanda kutokana na demand ya watu sababu ya kuigana ila ni gari ya kawaida sana....i would rather go for a cheaper Subaru forester XT than Harrier.

N:B matamanio yangu kwenye Hii gari yameisha Rasmi na sijaandika uzi huu kuziponda, ila tu nilikuwa na over Expectations. ASALAM ALLEIKUM.
#1 wewe ni mtu wa pili kusema nyepesi, nina mtu wangu wa karibu aliwahi niambia hivyo.
 
Kwahiyo unataka gari ukanyage mafuta bado haikimbii

Then inaonekana hauko makini on road by the way tunaopenda kupepea hatuna malalamiko
 
Mleta mada pumbafu,Acha umbeya kuongelea magari ya watu wengine kanunue lako linalokuvutia funga domo lako kalale lofa wewe

Ya wengine waachie wenyewe

Taste and fashion tunatofautiana sio uniform

Kama Maskini mkubwa wewe kuongelea magari ya wengine
Mkuu mbona ghafla shida nini 😂😂aliendesha ya kwako nini
 
Mtoa mada yupo sahihi kabisa juu ya harrier hiyo gari sifa yake kubwa ni ulaji wa mafuta Tu... ndiyo maana miaka ya hivi karibuni watanzania wameichagua Subaru forester dhidi ya tako la nyani, Harrier imepitwa mbali Kwa kila Nyanja na forester
 
Kwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile Taste iliyomo ndani yake.

Juzi kuna Jamaa akaniletea Moja akiwa anaiuza.

Katika kuendesha hii gari nimegundua, yafuatayo:

1. gari ni nyepesi sana unapofika speed kuanzia 120, inahitaji uwe makini sana kuicontrol ..

2. Gari iko juu na inakosa balance kiasi kwamba kwenye kona kali ni msala mtupu kama ukiingia kichwa kichwa..

3. Haikupi comfortability nzuri ukilinganisha hata na Brevis...Yaani ukiwa kwenye Brevenga au Crown unasikia raha zaidi ya Harrier.

4. Ina fuel consumption kubwa tofauti na perfomance yake. (Yaani haina nguvu wala ubora mkubwa kulinganisha na utumiaji wake wa mafuta)

5. Bei Yake nadhani ilipanda kutokana na demand ya watu sababu ya kuigana ila ni gari ya kawaida sana....i would rather go for a cheaper Subaru forester XT than Harrier.

N:B matamanio yangu kwenye Hii gari yameisha Rasmi na sijaandika uzi huu kuziponda, ila tu nilikuwa na over Expectations. ASALAM ALLEIKUM.
Kinachoipa chati ni ule ujuujuu wake otherwise haina cha ajabu,sijui labda kwa hizi za kuanzia 2018...
 
Wanakuja na tlpaka 2023 kama mtaweza nunua iko vzuri
 
Back
Top Bottom