Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Lakini nimesema ukweli kabisa Mkuu, au uongo ndugu zangu?[emoji3] hii gari nilikuwaga Naitamani sana ila iko overrated
Jaribu forester XT kwenye speed ya 120km/hr then njoo na feedbacks hapa. Note - hakikisha hiyo XT unatumia recommended oils.
 
Gari kubwa jinga hii
 
Kiufupi ni kuwa sijawahi kuzipenda,ingawa zile old model wakati zinaingia nilikuwa nazipenda sana...
 
Unachekesha sana.

Unalinganishs saloon ns SUV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…