sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Ktk forum inayoendelea ya Kigoda cha Mwl. Nyerere kuna bango limeandikwa..
"DEVELOPMENT IS STRUGGLE"
ipo vipi hii?
"DEVELOPMENT IS STRUGGLE"
ipo vipi hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk forum inayoendelea ya Kigoda cha Mwl. Nyerere kuna bango limeandikwa..
"DEVELOPMENT IS STRUGGLE"
ipo vipi hii?
Ama kweli wewe ni Bubu Msemaovyo.Duh!!! hapo ni kizaa zaa cha akili nadhani ilikuwa sahihi wangeweka maneno the other way ikawa "STRUGGLE IS DEVELOPMENT"
Au la kama wanang'ang'ania maandishi yakabaki kama yalivyo basi ilifaa kama wangeandika; "DEVELOPMENT MEANS STRUGGLING"
Usishangae kama mwaka huu tumepata -60% unadhani madhara yake ni madogo??
Mimi mgeni wa lugha hiyo.....
Ktk forum inayoendelea ya Kigoda cha Mwl. Nyerere kuna bango limeandikwa..
"DEVELOPMENT IS STRUGGLE"
ipo vipi hii?
Hawa nao ni zao la Mulugo?
Hivi hapo kwenye red ni sahihi?I am undergoing masters degree-Udsm,kwangu naona imetulia,simply means Development lies in the struggle especially for state freedom.
sawa sawa BenaireThey are precisely correct!
kwenye red ni sahihi?
kwenye red ni sahihi?
I am undergoing master's degree-Udsm,kwangu naona imetulia,simply means Development lies in the struggle especially for state freedom.
Undergoing or pursuing? Masters ya Language au ya kitu gani?I am undergoing master's degree-Udsm,kwangu naona imetulia,simply means Development lies in the struggle especially for state freedom.
In short it is poor English!!Sijaelewa tatizo lako au unauliza maana ya undergo-means:Experience,feel,suffer,undertake,go through,submit yourself to, concentrate au au huelewi Master's Degree funguka basi.