Sijawaelewa UDSM au mimi ndo mbumbumbu wa lugha, au kuna missing flani??

Sijawaelewa UDSM au mimi ndo mbumbumbu wa lugha, au kuna missing flani??

Iko sawa "Maendeleo ni kitu cha kutafuta bila kuchoka na hakiji iwapo unakisubili bila kujishughulisha".
 
Ktk forum inayoendelea ya Kigoda cha Mwl. Nyerere kuna bango limeandikwa..

"DEVELOPMENT IS STRUGGLE"

ipo vipi hii?

Hapo mbona mi sioni kosa lolote ama we umechukulia struggle kama kushindwa?
 
Ktk forum inayoendelea ya Kigoda cha Mwl. Nyerere kuna bango limeandikwa..

"DEVELOPMENT IS STRUGGLE"

ipo vipi hii?

The best way to understand ENGLISH is to think in ENGLISH and not otherwise; an aforementioned phrase is indeed more than CORRECT...
 
English is a third language to most of us. Na tunaandika english ktk tafsiri ya kiswahili. Tatizo lingine tunashindwa na hatujui kuchagua maneno yanayoendana pamoja. Hapo nadhani kilichokosewa ni kuto-specify the type of development inayozungumziwa. Technological development, economical development or etc?
 
engorohe kashamaliza mjadala.....ni sawa na kusema haki haiji bali kwa ncha ya upanga
 
1. UDSM wanabolonga sana kiingereza. Hasa kwenye website. Not in this case though.
2. Wabongo kiujumla hatujui kiingereza.
3. "Development is Struggle" is not only grammatically correct as much as "Math is hard", it has the added virtue of being concise.
 
Kiranga I am not an english major but to me the sentence "Development is struggle" feels wrong. Wouldn't it be more better if it said Development is a struggle?
I also believe it is incorrect comparing the two terms as you did above because in the first statement term "development" and "struggle" are both verbs verbs while in the second statement "Maths" though a noun implies the action of doing Mathematics and "hard" is an adjective.
By the way English is not my area of expertise apart from it being more or less my first language to learn.
 
Sijaelewa tatizo lako au unauliza maana ya undergo-means:Experience,feel,suffer,undertake,go through,submit yourself to, concentrate au au huelewi Master's Degree funguka basi.

Hapo mkuu bila kupepesa macho umekosea.....you dont undergo studies...you just pursue...or you would rather say "take"....
 
1. UDSM wanabolonga sana kiingereza. Hasa kwenye website. Not in this case though.
2. Wabongo kiujumla hatujui kiingereza.
3. "Development is Struggle" is not only grammatically correct as much as "Math is hard", it has the added virtue of being concise.

Ni kweli UDSM wanaboronga hasa kiuandishi...lakini kwa suala hili hawajakosea....This sentence is syntatically correct and semantically concise....
Try to read as many books as you can....especially those of socialism and capitalism modes of production.
 
I stated so in item number 3, which you quoted. Just so we are understanding each other.

Tatizo bongo kuna diction fulani hivi Dickensian au Churchillian, inayotumia poetic economy of words, inayokata msemo kutoka "To develop is to struggle" into "Development is Struggle" ukiandika au kusema hivyo watu watakushangaa.

Ukiwauliza mnazijua "parts of speech" na kanuni za arrangements za parts of speech katika kiingereza? Na mnaweza kuniambia kanuni gani ya kupanga "parts of speech" katika kiingereza imekuwa violated hapo?

Wataanza kukuuliza "parts of speech" ndo mdudu gani na ana mapembe mangapi?

Mimi sitaki mtu aniambie hapa Kiingereza kimekosewa.

Nataka mtu aniambie "Kiingereza kimekosewa kwa sababu huwezi kuweka adjective hapa, au adverb hairuki kwa miguu miwili kama hivi, au preposition haikuni nazi bila kibao na hapa umeikunisha nazi bila kibao"

Hapo ntaona angalau huyu anayesema watu hawajui Kiingereza katoa kanuni iliyokiukwa tunaweza kuichambua.

Lakini mtu anakosoa kijumla jumla hata hakupi sababu, hata kama kumekosewa kweli wengine wanaweza wasijifunze lolote.

Inawezekana yeye ndo hajasikia kiingereza cha Bernard Shaw na Updike, anashangaa watu waliokuwa rooted kwenye Hegelian dialectics.
 
Mr.Kiranga....nilikuwa nakuunga mkono mawazo yako hapo juu....
Ushauri wa kusoma vitabu...nimependekeza kwa mleta mada...
Hope you won't misunderstand
 
Sawa mkuu hiyo ndo level yako kwa uelewa si vizuri kubishana na wewe form2 una vocabulary chache! Kachukue kamusi na madesa mbalimbali ujifunze acha hizo.
 
@ Benaire, kweli kiingereza kwa baadhi ya wabongo ni janga!Acha kukariri, unalazimisha mtu aandike maneno unayojua wewe mbona hamtaki kujifunza! unadhani hayo maneno persuing,doing,n.k siyajui? basi eleza maana ya verb undergo au dictionary yako inasemaje,tatizo ni muda ningekuwa na muda mzuri ningekupa shule nzuri hapa,ila basi tu.
 
Kama unakiri hujui, kwa nini unang'ang'ana kubishana na wanaojua. Wameshakuambia kusema una 'undergo' study ni kosa.

Jifunze.
 
Nimeupenda mjadala...kuna wengi waliotoa majibu sahihi. Katika kuweka mkazo; kusema DEVELOPMENT IS STRUGGLE ni kiingereza sahihi. Ni sahihi zaidi hasa unapokuwa unaitumia kama slogan au headline. Unaweza kutokutumia 'articles' ktk mazingira flani flani na ukawa sahihi. Kuna syntax ya kujifunza katika hatua za awali inayotaka mpangilio makini wa maneno, lakini pia kuna language use ambayo inahitaji ukomavu wa lugha ambapo unaweza hata kuweka pembeni baadhi ya kanuni...lakini bado ukawa hujakosea. Undergoing masters siyo sahihi. You can undergo a long list of things but not....masters. Ni muhimu kujua kuwa lugha ya yoyote ina concept ya 'agreement' au 'concord'. Hii humaanisha kuwa maneno flani hasa verbs na adjectives yanaweza kutumiwa pamoja...maana yake ni nini? Anayesema undergoing masters yuko sahihi kwenye kanuni za 'kiisimu' yaani syntax-ila collocation inagomba..kwa kuwa maneno hayo hayana 'agreement'...hilo ni tatizo kubwa kwa watumiaji wengi wa kiingereza nchini kwetu. Lakini ni vzr kuendelea kujifunza.
 
@Makoba
Ahsante kwa ubishi wenye hoja,
Haya bwana mimi napenda kujifunza na sijazaliwa uingereza pia mimi ni Engineer sio linguistic. Nimerudi kuperuzi ambapo niliona neno hilo limetumika,mwaka jana nilienda Training huko Washington DC
Hapa nanukuu
COURSE OBJECTIVES
Undergoing this course the Emergency Action committee will be able to:
Define…………………………naacha gap kwasababu za kiusalama.
Operate……………………
Complete……………..
Basi na wao walichapia mkuu.
Anyway mimi napenda kuongea na kufikisha ujumbe tofauti na watu wengine wanavyotarajia, mfano: last three weeks nilikuwa namalizia semester exams mtu akaniuliza what wrong with you guy? You seem to be anxious nikamjibu it's because I am suffering from Master's studies akacheeka tayari nilishampa ujumbe,ingekuwa kwenye mtihani wa English nisingetumia lugha hiyo, hapa hawa wa form 2 wanaanza ku-criticize bila facts.
 
@ Benaire, kweli kiingereza kwa baadhi ya wabongo ni janga!Acha kukariri, unalazimisha mtu aandike maneno unayojua wewe mbona hamtaki kujifunza! unadhani hayo maneno persuing,doing,n.k siyajui? basi eleza maana ya verb undergo au dictionary yako inasemaje,tatizo ni muda ningekuwa na muda mzuri ningekupa shule nzuri hapa,ila basi tu.

Nadhani unaleta mbwembwe tu hapa...huwezi ku-undergo multiple situations bali una undergo a situation.
Masters una involve different courses...kama ni specific unaweza ku-undergo but however you pursue!
Jitahidi ufike chuo cha YORK Uingereza ni watalaam wa lugha ya kiingereza na utaelewa mengi!
Watu wa mataifa makubwa hadi marekani...wapo kujifunza standard English na Received Pronunciation na sio accepted Pronunciation kama walivyozoea....!
 
Back
Top Bottom