Sijawaelewa wanaume wanaovaa nguo za kubana

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
632
Reaction score
407
Habari za mishe za mchana wadau.twende kwenye mada,hivi hawa mabraza men wanaovaa vile vijinsi vinavyobana ndo fasheni au vp.utakumkuta mtoto wa kiume kavaa kijinzi kinabana mnoo ndo nini vile.sorry kiswahili changu sio kizuri coz am busy now
 
vimewachonga na kuchanika chanika mapajani, shenzi taipu!
 
Mkuu kwani we upo dunia ya ngapi... ?

Wacha kukariri mambo dunia inabadikika kila uchwao
 
hqdefault.jpg
 
Hawazitendei haki mbupu zao!
Sio kwamba hatuzitendei haki hapana... Hizo suali zinabana kuanzia Ken goti kushuka chin huku kwa juu inakuwa kubwa kubwa kidogo.... Af tunapendeza Sana.... Kuanzia Mimi mwenyew napendezaga nikivaa ivo
 
Habari za mishe za mchana wadau.twende kwenye mada,hivi hawa mabraza men wanaovaa vile vijinsi vinavyobana ndo fasheni au vp.utakumkuta mtoto wa kiume kavaa kijinzi kinabana mnoo ndo nini vile.sorry kiswahili changu sio kizuri coz am busy now
Ndo umekuja mjini leo[emoji102] [emoji102]
 
Sio kwamba hatuzitendei haki hapana... Hizo suali zinabana kuanzia Ken goti kushuka chin huku kwa juu inakuwa kubwa kubwa kidogo.... Af tunapendeza Sana.... Kuanzia Mimi mwenyew napendezaga nikivaa ivo
Sasa raha yake ni ile kubanwa au?
 
hata suti pia kuna zinazowabana utadhani wanapewa bure bahati mbaya wengine wamejaaliwa makalio makubwa, mapaja/mahipsi kama dada zao tu kama wew ni mnene c uchague nguo nzuri nini kukimbizana na vimodel kama dada zako bashite pia ni zero kwa uvaaji
 
Hivi karne hii ni ya kupangiana vya kuvaa? Kwa Hiyo ni bora wanaovaa misuli tena bila boxer?
 
Fasion tu mkuu,, kwani hata unachovaa wewe Kuna watu wanakushangaa
 
Back
Top Bottom