Nimeanza kufanya mapenzi mwaka wa tano sasa lakin cjawah kupiz hata nifanye mda gani. Hili ni tatizo au ni uzembe wangu??
Nenda kamwone daktari specialist wa masuala ya uzazi.
Mm naona kama huna wazo la kumsaidia mtu bora tu unyamaze coz majibu mnayoyatoa naona kama mnapoteza mda wanu. Hebu mwenye hekima na uelewa anisaidie katika hili