Sijawah kutoa shahawa msaada jamani

Sijawah kutoa shahawa msaada jamani

amyb

Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
11
Reaction score
2
Nimeanza kufanya mapenzi mwaka wa tano sasa lakini sijawahi kutoa shahawa (kufika kileleni) hata nifanye tendo la kujamiana muda gani.

Hili ni tatizo au ni uzembe wangu??
 
Sasa kama sina nifanyaje?yan cjawah kupiz
 
Mm naona kama huna wazo la kumsaidia mtu bora tu unyamaze coz majibu mnayoyatoa naona kama mnapoteza mda wanu. Hebu mwenye hekima na uelewa anisaidie katika hili
 
Jisalimishe haraka hospitalini. Usiende kwa waganga uchwara waojifanya kuoteshwa dawa km yule kibabu wa Loliondo.
 
:faint:Mkuu maumivu yakizidi kamuone Daktari.
 
hii ni mpya, nenda hospitali halafu uje utuambie majibu uliyopewa tukupe ushauri zaidi
 
Hujaeleza jinsia yako kwanza ni kitu cha muhimu pia historia uielezee vizuri ndipo watu waumize vichwa sio kueleza nusunusu halafu unategemea ushauri mzuri
 
Mm ni mwanaume, huwa sitoi chochote aka dem anaomba poo naishia happ hapo so smtmz naoma soo.
 
Labda unakutana na mabint wavivu na wsiojua , tafuta wale waliobobea na unyago ujanja wa mjini, mafunzo kitchen part n.k hivyo lazima umalize
 
Mm naona kama huna wazo la kumsaidia mtu bora tu unyamaze coz majibu mnayoyatoa naona kama mnapoteza mda wanu. Hebu mwenye hekima na uelewa anisaidie katika hili

Mkuu usikasirike kwenye jamii kuna watu wa aina nyingi na huwezi kuwakimbia itabidi tu uwazoee
 
Back
Top Bottom