Sijawahi hisi ladha ya ndizi za kukaanga; niziandae vipi ili kipata ladha?

Sijawahi hisi ladha ya ndizi za kukaanga; niziandae vipi ili kipata ladha?

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
394
Reaction score
720
Salaam,

Kiukweli tangu nianze kula ndizi zilizokaangwa sijawahi kuona ladha yake.

Je, huenda ninapokula ndo hawajui kuandaa ndizi za kukaanga au mdomo wangu na ulimu ndo umegoma kuhisi ladha ya ndizi.

Wataalamu nisaidie namna ya kuhisi ladha ya ndizi za kukaanga au namna ya kuziandaa ziwe na ladha.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Ukila kuku dar na ukienda kula kuku singida unaelewa kwamba ladha ni tofauti sana.

Wataalamu wanakuja.
 
Sasa mkuu kama hupati ladha yake, iweje uwe na shauku ya kuendelea kuzila...

Mzuzu unaweza ukachomwa, ukakaangwa, ukachemshwa, ukakaushwa na wengine huupika kama ndizi nyama mchuzi...

Jaribu hizo njia nyingine
 
Mimi ndizi hata uweke nn sipendi lands mtori tu basi wa nyama ila sijui matoke ,sijui nn huwaga sina sipendeli hata za kukaanga
 
Kwa hiyo unakuwa kama kuku ilimradi ushibe tu😁😂.

Badilisha mpishi mkuu.
 
Salaam,

Kiukweli tangu nianze kula ndizi zilizokaangwa sijawahi kuona ladha yake.

Je, huenda ninapokula ndo hawajui kuandaa ndizi za kukaanga au mdomo wangu na ulimu ndo umegoma kuhisi ladha ya ndizi.

Wataalamu nisaidie namna ya kuhisi ladha ya ndizi za kukaanga au namna ya kuziandaa ziwe na ladha.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Ndizi spesheli yake iive ndio iliwe mkuu.

Achana na mbwembwe za waswahili.

Kukaanga ndizi mbichi ni sawa na kukaanga embe bichi.

Embe ni kama ndizi tu subiri iive kisha ule,ama ichemshe ikiwa mbichi ladha utaihisi tu.
 
Pole sana, yan me nlikuwa kama ww nlikuwa spend ndz kwa jns yoy(e)ote ile. Wakipka ndz bas me nakula viaz ama magimbi lkn ndz sgus.

Nkaenda kwa shangaz jaman kila sku n ndz uwiii, n kiburu, kitawa, ng'ande, machalari , mtori, ndz za kukaanga mzuzu au mkono wa tembo. Yan vnabadlishwa kihivyo hahahaha, nkajikuta napenda ndz kwa moyo wote na nkajikuta naona nmechelewa kula ndz.

Lkn sjawah penda ndz zlizoiva za kukaanga, napenda ziwe na hali ya ubch ndo zkaangwe.
 
Zile zinazoivaga zile zenye sukari alafu zikaangwe naweza kula hata mkungu mzima...

Yale mabichi alafu uyakaange hata uweke nini utakula mwenyewe...
Alpha,usichague chakula utajalala na njaa
 
Back
Top Bottom