Sijawahi hisi ladha ya ndizi za kukaanga; niziandae vipi ili kipata ladha?

Sijawahi hisi ladha ya ndizi za kukaanga; niziandae vipi ili kipata ladha?

Sasa mkuu kama hupati ladha yake, iweje uwe na shauku ya kuendelea kuzila...

Mzuzu unaweza ukachomwa, ukakaangwa, ukachemshwa, ukakaushwa na wengine huupika kama ndizi nyama mchuzi...

Jaribu hizo njia nyingine
Mkuu tunakula tu basi

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, yan me nlikuwa kama ww nlikuwa spend ndz kwa jns yoy(e)ote ile. Wakipka ndz bas me nakula viaz ama magimbi lkn ndz sgus.

Nkaenda kwa shangaz jaman kila sku n ndz uwiii, n kiburu, kitawa, ng'ande, machalari , mtori, ndz za kukaanga mzuzu au mkono wa tembo. Yan vnabadlishwa kihivyo hahahaha, nkajikuta napenda ndz kwa moyo wote na nkajikuta naona nmechelewa kula ndz.

Lkn sjawah penda ndz zlizoiva za kukaanga, napenda ziwe na hali ya ubch ndo zkaangwe.
Me najuaga ndizi mbichi ndo hukaangwa kumbe had zilizo hiva

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Tafta za aina hii uzikaange alaf urudi hapa tena
images-36.jpeg
images-35.jpeg
images-34.jpeg
 
Ukitaka kunilaza njaa nipikie ndizi sikipendi hiki chakula.
 
Back
Top Bottom