Ndizi spesheli yake iive ndio iliwe mkuu.Salaam,
Kiukweli tangu nianze kula ndizi zilizokaangwa sijawahi kuona ladha yake.
Je, huenda ninapokula ndo hawajui kuandaa ndizi za kukaanga au mdomo wangu na ulimu ndo umegoma kuhisi ladha ya ndizi.
Wataalamu nisaidie namna ya kuhisi ladha ya ndizi za kukaanga au namna ya kuziandaa ziwe na ladha.
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Hakika... Mandizi mabichi siyo kabisa...Ndizi mzuzu zilizoiva ni tamu tu ukikaanga...na kama hazijaiva basi kaanga ukiwa umezipaka chumvi
Hakika... Mandizi mabichi siyo kabisa...
Zile zinazoivaga zile zenye sukari alafu zikaangwe naweza kula hata mkungu mzima...Ha ha haa,unataka nn kwan S?
Jeuri unayo aiseeZile zinazoivaga zile zenye sukari alafu zikaangwe naweza kula hata mkungu mzima...
Yale mabichi alafu uyakaange hata uweke nini utakula mwenyewe...
Alpha,usichague chakula utajalala na njaaZile zinazoivaga zile zenye sukari alafu zikaangwe naweza kula hata mkungu mzima...
Yale mabichi alafu uyakaange hata uweke nini utakula mwenyewe...
Hapana sina jeuri... hahahahaJeuri unayo aisee
Hahaha... Kama hazipiti je kwenye koo...Alpha,usichague chakula utajalala na njaa
Shushia majiHahaha... Kama hazipiti je kwenye koo...
Kula ni starehe tabu yote ya nini...Shushia maji
Ndizi za kuiva unaweza kuzikaanga kumbeWakukaangie ndizi mzuzu zilizoiva sana.
Wewe ni kama mimi tu ila ndizi mzuzu zilizoiva sana na tumishkaki ninaweza kula.