Sijawahi hisi ladha ya ndizi za kukaanga; niziandae vipi ili kipata ladha?

Sasa mkuu kama hupati ladha yake, iweje uwe na shauku ya kuendelea kuzila...

Mzuzu unaweza ukachomwa, ukakaangwa, ukachemshwa, ukakaushwa na wengine huupika kama ndizi nyama mchuzi...

Jaribu hizo njia nyingine
Mkuu tunakula tu basi

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Me najuaga ndizi mbichi ndo hukaangwa kumbe had zilizo hiva

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kwan huwa unakula ndizi gani(aina ipi)?
 
Ukitaka kunilaza njaa nipikie ndizi sikipendi hiki chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…