Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

TONY LOVE

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
720
Reaction score
379
Habari zenu MMU?

Natumaini mko poa kabisa na afya njema. Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani, mimi nimwanaume niliekamilika kwa 99%.

Mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume.

Nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye ndoa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije Dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukani napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukani.

Naomba mawazo yenu ya hekima.
 
👅👅👅👅👅💏💏💏💏💏
 
Hahaaa viroba ktk ubora wake.
ww subiri adi ufikie 40s ndo utakamilika 100%.
hahaaa kwan ukikataliwa unachubuka au unaota kichunuc usoni.
pole
 

"Jamani Kukaa Bila Kufanya Mapenzi Ni Mtihani Mgumu Sanaa Unaelekea Unanishinda" Well!!! Kwako Huu Ni Mtihani Mgumu Sanaa, Vipi Kuingia Peponi?? Ni Rahisi???
 
Kwa maelezo yako inaonesha umefikia hatua ya mwisho ya uvumilivu. Na unapoelekea utayaingia tu. Sasa cha msingi cheza karata zako vizuri utafute mtu anayekupenda yeye kwa kipindi hiki, ili upunguze huo ugumu wako. Ukishaanza kupata uzoefu anza kutafuta unaempenda wewe, kwa sababu nina imani mpaka kipindi hicho utaweza kujicontrol.lakin kwa sasa ukitafutaunayempenda atakutesa sana. Bora utafute zombi usilolipenda kwa sasa ili likupe uzoefu.
 
Miaka 24 na bado bikira huh? Welcome to the club, shortie. Kuna group kule whatsapp la "wanaume tunaojitunza kwa ajili ya wake zetu badae". Nitawaambia wanachama ili tuone unaweza kuunganishwa vipi. Endelea kukomaa.
 



Lazima uume wako utakua umekomaa kwa kujichua
 

unategemea kwamba uyo dada atajitongozesha kwako .wadada wengi ni ngumu sana kufanya ivo hata kama anakupenda .kama unampenda mwambie kukataliwa ni kawaida sana unakubali matokeo unajaribu kwa mwingine. unavoendelea kumtegea uyo mdada unapoteza mda wa kupata mtu mwingine
 
Mi nafikiri umuanze taratibu kama vile kumsifia alivyo na umbo zuri na sifa nyingine unazoziona kwake..Kama anakupenda utaona reaction yake na ataweza kutengeneza mazingira rafiki kwako ili iwe rahisi kumwambia. Huenda unaficha hisia zako na hivyo kuwa vigumu kwake kujua kama unampenda. Ukishatangaza hisia zako kwake itakuwa rahisi kumwambia kwasababu itakupa confidence kutokana na rea tion yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…