Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu MMU?....Natumaini mko poa kabisa na afya njema.
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa dunian, mie nimwanaume niliekamilika kwa 99%. mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume. nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye doa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukan napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukan....Naomba mawazo yenu ya hekima.
Hahahaha.... niunganishe mkuu maana hakuna namna.Miaka 24 na bado bikira huh? Welcome to the club, shortie. Kuna group kule whatsapp la "wanaume tunaojitunza kwa ajili ya wake zetu badae". Nitawaambia wanachama ili tuone unaweza kuunganishwa vipi. Endelea kukomaa.
Ahsante kwa ushauri wako,lakin mkuu siku moja alikuja dukan akasema ameniota usiku, nikamuuliza umeniotaje akasema kawaida tu.Mi nafikiri umuanze taratibu kama vile kumsifia alivyo na umbo zuri na sifa nyingine unazoziona kwake..Kama anakupenda utaona reaction yake na ataweza kutengeneza mazingira rafiki kwako ili iwe rahisi kumwambia. Huenda unaficha hisia zako na hivyo kuwa vigumu kwake kujua kama unampenda. Ukishatangaza hisia zako kwake itakuwa rahisi kumwambia kwasababu itakupa confidence kutokana na rea tion yake.
Kwahiyo ni mwendo wa selfie?
Ahsante kwa ushauri wako,lakin mkuu siku moja alikuja dukan akasema ameniota usiku, nikamuuliza umeniotaje akasema kawaida tu.
naomba kuungwaMiaka 24 na bado bikira huh? Welcome to the club, shortie. Kuna group kule whatsapp la "wanaume tunaojitunza kwa ajili ya wake zetu badae". Nitawaambia wanachama ili tuone unaweza kuunganishwa vipi. Endelea kukomaa.